Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,927
Nilishawaambia zilipoanza ziara tuu za kuonesha mambo yanakwenda ilikuwa ni kuwatoa hofu watu na kupima nguvu ya mamaNahisi alivuta Ile siku Majaliwa kakatisha ziara Njombe
Japo inaonesha hali yake ilikua mbaya sana week kabla
Ni kweli, Magu kafa siku nyingi sio janaNilishawaambia zilipoanza ziara tuu za kuonesha mambo yanakwenda ilikuwa ni kuwatoa hofu watu na kupima nguvu ya mama
Utakua msiba mkubwa kuwahi kushuhudiwa AfricaPoleni sana Watanzania na Waafrika wenzangu. A difficult one to take. I'm trying the best to learn how to take this.
Chini ya Bashiru, Mwinyi na Mangula, Pinda najua watatuletea mwenye caliber ya Magufuli mtu wa miundombinuNdio
Ni kweli, Magu kafa siku nyingi sio jana
Pole kwa msiba mkuu. Omboleza kwanza bro. Respect Magufuli, leo hakuna battle. Heshima kwa mzee wa Chato.[emoji120][emoji120][emoji120]
Wewe nyoko mbona ulazimishie Nairobi hospital na Minister wenu kakanusha?Let them try and reflect Railas short stint, watajoin dots
Naiman hii foundation aliyoijenga itaendelezwa mileleMagufuli ameonesha njia jinsi gani viongozi wa Afrika wanapaswa wawe naamini huko alipo Mwenyezi Mungu amemuweka panapo stahili japo ana makosa km binadamu lkn naamini alikuwa na mapenzi makubwa dhidi ya wananchi, wiki yote hii nmekuwa naumia moyo wangu ulikuwa unauma sana nilishahisi kuna kitu kibaya kinatuzunguka Watz.
Asante Magufuli, asante Mungu kwa haya yote kwani wewe hukosei na hujawahi kukosea, nimelia lkn hii haiondoi ukweli kwamba Magufuli hatupo naye tena, asante baba kwa zawadi hii uliyotupa na asante pia kwa kila ulilolifanya kwa nchi yetu.
Watanzania naomba tuungane na tujikaze katika kipindi hiki kigumu tusitetereke mana katika kila gumu kuna njia, hakika tusijibishane na mtu yeyote zaidi tu tuseme asante.
Asante Magufuli, Mungu akuweke baba, wewe ni zaidi ya mwamba, miaka yako sita uliyoongoza imetosha kujipambanua kwamba uliletwa duniani kupigania haki, asante sana baba.
Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi Amina.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Alale mahali pema Raisi wetu, Watanzania tunamajonzi yasioelezeka
Nimepata Mshtuko sana bro yani usingizi umekata , simba wa africa ametutoka, tutamkumbuka kwa mengi sana,Pole kwa msiba mkuu. Omboleza kwanza bro. Respect Magufuli, leo hakuna battle. Heshima kwa mzee wa Chato.[emoji120][emoji120][emoji120]
Acha kuongea uvumi mzee wewe usijifanye unajua kila kitu kiundaniImeshatoka hiyo,bora hata wangemuweka wazi ili watu wamuombee heri,mficha maradhi.
Maccm na genge lao nayachukia yanateka nyara kiongozi wa umma as if hana watu
kaka wala usisonone bali uwe na moyo mkuu. Magu atabaki kua my iconic president.. Tanzania hatutarudi nyuma.. naamini mama samia pia atakua na jicho na upeo wa mzee magu hili nakuhakikishia kaka.Magufuli ameonesha njia jinsi gani viongozi wa Afrika wanapaswa wawe naamini huko alipo Mwenyezi Mungu amemuweka panapo stahili japo ana makosa km binadamu lkn naamini alikuwa na mapenzi makubwa dhidi ya wananchi, wiki yote hii nmekuwa naumia moyo wangu ulikuwa unauma sana nilishahisi kuna kitu kibaya kinatuzunguka Watz.