Mimi nilivurugika jpili na j3 baada ya kutoonekana kanisani nikahisi kuna jambo, Nashukuru Mungu alinipa ujasiri wa kuwa tayari kwa lolote.
Kuna mtu kanichukia kwakuwa sijapokea wala kujibu msg zake karibu wiki sasa, kwasababu nilikuwa najiandaa kisaikolojia, sikujuwa ntalichukuliaje hili suala likithibitishwa, hasa baada ya kuona Rais wa SMZ akiahirisha shughuli za kiserikali. Kila nikiona wadau wakiweka miradi yake, kwa kweli nilizidi kuumia nikijuwa, wanamuemzi.Moyo unaniuma mm jamaniiii, siwezi kulala kabisa wacha nikeshe tu nimeumia sana sana japo naamini kifo ni haki yetu sisi wanadamu lakini why Magufuli why??
Kifo cha Kijazi kilikua na worst negative energy kwa Magufuli [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kifo cha rafiki yake kilimuumiza sana, japokuwa alijikaza.na alitakiwa azikwe moja kwa moja Tanga, lkn magu akasema wamlete Dar na yeye amuage [emoji29]
Kulikuwa na upotoshaji mwingi ila kulikuwa na viashiria kuwa mambo siyo mazuri, mfano Musiba hakuwahi kusema chochote kwenye channeli yake kwa siku sita.hapo kati hali haikuwa nzuri.. niliwahi kusema huku kuwa yupo Dar.. wengine wakataka evidence 🤦🏽♂️.. na ni kweli umauti kamili umemkuta jana jion saa 12
Moyo unaniuma mm jamaniiii, siwezi kulala kabisa wacha nikeshe tu nimeumia sana sana japo naamini kifo ni haki yetu sisi wanadamu lakini why Magufuli why??
Naamini kila kitu usemacho mkuu japo inauma 😭😭😭😭😭na alitakiwa azikwe moja kwa moja Tanga, lkn magu akasema wamlete Dar na yeye amuage [emoji29]
Hatuheshimu mikataba za ujinga kama hizo. Tutaondoka from those useless mikatabas and go to court. Kwani unadhani nyinyi ni nani?Mipaka haichorwi kama unachora ramani kwenye ubao na chaki.
Wakenya mpo empty sana kwenye mambo ya kimataifa.
1. Soma mikataba iliyosainiwa kati ya Tanzania na Kenya kuhusu mipaka.
2. Tanzania ilitoa grace period kwa Mwenye malalamiko mwaka 1961 had I 1964.
3. Muulize Nduli Idd Amin Dadaa alipojaribu kuingia kwenye mipaka ya Tanzania.
4. Muulize Kamuzu Banda na Joyce Banda wa Malawi.
Nyie pigeni kelele tu kwenye mitandao but nyie ni wachumba tu.
jana nimeona Mkuu wa Mkoa Geita kavaa nyeusi nikajiuliza maombolezi?Kifo cha rafiki yake kilimuumiza sana, japokuwa alijikaza.
Kulikuwa na upotoshaji mwingi ila kulikuwa na viashiria kuwa mambo siyo mazuri, mfano Musiba hakuwahi kusema chochote kwenye channeli yake kwa siku sita.
Pole sana. Death is always painful. My condolences.Moyo unaniuma mm jamaniiii, siwezi kulala kabisa wacha nikeshe tu nimeumia sana sana japo naamini kifo ni haki yetu sisi wanadamu lakini why Magufuli why??
Samia akiwa Tanga, ummy na Shigela walikua muda wote wameinamisha vichwa chinijana nimeona Mkuu wa Mkoa Geita kavaa nyeusi nikajiuliza maombolezi?
Hata Shigella alimkatisha Samia kufanya ukaguzi wa upakiaji wa mafuta kwenye magari! Inakaa Mkulu alikuwa kashavuta!Samia akiwa Tanga, ummy na Shigela walikua muda wote wameinamisha vichwa chini
Nahisi alivuta Ile siku Majaliwa kakatisha ziara NjombeHata Shigella alimkatisha Samia kufanya ukaguzi wa upakiaji wa mafuta kwenye magari! Inakaa Mkulu alikuwa kashavuta!
NdioMakamu wa Rais atatoka Bara?