The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Pita hapa [emoji116][emoji116]Na ota au? Embu kueni serious... mme julia wapi?
katiba ipo wazi mbona!!Praying for a peaceful power transition 🇹🇿
ndo hivyo yani ni MADAM PRESIDENT kuanzia sasa subiri tarehe ya kuapishwa tuuPraying for a peaceful power transition 🇹🇿
Magufuli ameonesha njia jinsi gani viongozi wa Afrika wanapaswa wawe naamini huko alipo Mwenyezi Mungu amemuweka panapo stahili japo ana makosa km binadamu lkn naamini alikuwa na mapenzi makubwa dhidi ya wananchi, wiki yote hii nmekuwa naumia moyo wangu ulikuwa unauma sana nilishahisi kuna kitu kibaya kinatuzunguka Watz.kitu nilichopenda ni kaziamini hospitali za serikali ndan ya nchi, hajataka kupelekwa nje ya nchi![emoji1488]
Mbona hata rwanga alipata matatizo ya moyo . Ni ugonjwa wa mda mrefu . Afrika watu wengi wanatembea na magonjwa kwa sababu hatuna utamaduni wa kufanya check up ya mwili mpaka huanze kiuumwaTulikuwa tunakufa ila sio Msiba wa kujitakia
Kwa hivyo unaamini ni maradhi ya moyo ndio imemuua?Mbona hata rwanga alipata matatizo ya moyo . Ni ugonjwa wa mda mrefu . Afrika watu wengi wanatembea na magonjwa kwa sababu hatuna utamaduni wa kufanya check up ya mwili mpaka huanze kiuumwa
Jipe moyo mkuu, hili nalo litapita. Tutakukumbuka milele daima,baba etu,kiongozi wetu,mkombozi wetu,ulietuheshimisha duniani . Dah 😢😢😢. Moyo wangu unauma sana,nateseka sana jamani na Mimi mniombee
Let them try and reflect Railas short stint, watajoin dotsAlikufa Nairobi Hospital on Saturday mwili ikaletwa bongo on Sunday. Tuliwaambia Haya mambo over and over mkatutusi.
Mimi siku zote hizi moyo umekuwa ukiniuma sana.Magufuli ameonesha njia jinsi gani viongozi wa Afrika wanapaswa wawe naamini huko alipo Mwenyezi Mungu amemuweka panapo stahili japo ana makosa km binadamu lkn naamini alikuwa na mapenzi makubwa dhidi ya wananchi, wiki yote hii nmekuwa naumia moyo wangu ulikuwa unauma sana nilishahisi kuna kitu kibaya kinatuzunguka Watz.
Mimi nilivurugika jpili na j3 baada ya kutoonekana kanisani nikahisi kuna jambo, Nashukuru Mungu alinipa ujasiri wa kuwa tayari kwa lolote.Mimi siku zote hizi moyo umekuwa ukiniuma sana.
Mimi siku zote hizi moyo umekuwa ukiniuma sana.
Moyo unaniuma mm jamaniiii, siwezi kulala kabisa wacha nikeshe tu nimeumia sana sana japo naamini kifo ni haki yetu sisi wanadamu lakini why Magufuli why??Mimi nilivurugika jpili na j3 baada ya kutoonekana kanisani nikahisi kuna jambo, Nashukuru Mungu alinipa ujasiri wa kuwa tayari kwa lolote.
Mzee kama ulikuwa ujagundua alikuwa anaumwa kweli kuna wakati hata sura ilikuwa inaonekana inavimba.Moyo unaniuma mm jamaniiii, siwezi kulala kabisa wacha nikeshe tu nimeumia sana sana japo naamini kifo ni haki yetu sisi wanadamu lakini why Magufuli why??