Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,236
- 107,866
Ukiombwa source unaweza kutoa back up?Maiden flight To Guangzhou temporarily Suspended due to Covid-19 Control pressure from Guangzhou Government.
New Flight time to be announced later.
View attachment 1728124
Leta link sio una-post vitu bila link!Hope new flight time announced soon.
Tujitahidi kupata taarifa kwenye source za kuaminika. Maana tupo na maadui wengi.Hope new flight time announced soon.
Hata mie namshangaa huyu NDINDA sijui amekuwaje anaokoteza tu huko na Kuja ku-post humu!Tujitahidi kupata taarifa kwenye source za kuaminika. Maana tupo na maadui wengi.
kabisa watafutiwe maeneoJiji limetekwa na wamachinga sasa, kuwaondoa mjini ni jambo bora kabisa. Hata kariakoo waondolewe tu wapelekwe kwenye maeneo yao.
Exactly hata mie! Imagine potential PAX wangapi wameacha ku-book Air Tanzania kisa utopolo wa NDINDA ! Verification na Validation ni steps muhimu kwenye taarifa yeyote era ya Cyberwars!Mimi huwa najaribu Ku validated na Ku verify taarifa ninazozipata.
Mfano:View attachment 1728154
From air Tanzania
Exactly hata mie! Imagine potential PAX wangapi wameacha ku-book Air Tanzania kisa utopolo wa NDINDA !
Mnajuaje kama NDINDA anafanya kazi serikalini tena pengine ana access to such documents? Na hataki kuwaambia sources zake kwa sababu habari hii bado haijakuwa official? Msimkashifu sana. Stamp naona ni original, document inakaa ni original.Mimi huwa najaribu Ku validated na Ku verify taarifa ninazozipata.
Mfano:View attachment 1728154
From air Tanzania
Unataka kumkimbiza tena sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usikimbie tu. Maana Task yangu nilikupatia ukaingia mafichoni.
View attachment 1728139
Hebu acha issue kama hizo. Hata kama uwe unafanya kazi serikalini. Kuna ethics. Huwezi kuweka taarifa public amabayo haijawekwa public.Mnajuaje kama NDINDA anafanya kazi serikalini tena pengine ana access to such documents? Na hataki kuwaambia sources zake kwa sababu habari hii bado haijakuwa official? Msimkashifu sana. Stamp naona ni original, document inakaa ni original.
Huyu jamaa huwa ananikera sana, sijui ni kwanini huwa anaona sawa kusifia darasa la saba. Ni kama vile anatulazimisha kuamini darasa la saba pia wapo vizuri kushinda maprofesa wakati yeye mwenyewe nje ya kutoa shida za jimboni kwake(haiihitaji uende shule) na kuwaponda upinzani hana chochote cha ziada.. Mwanza is rising too high
Wapo wanaompenda. Na wewe wapo wanaokuchukia. Huwezi kupendwa na kila mtu.Huyu jamaa huwa ananikera sana, sijui ni kwanini huwa anaona sawa kusifia darasa la saba. Ni kama vile anatulazimisha kuamini darasa la saba pia wapo vizuri kushinda maprofesa wakati yeye mwenyewe nje ya kutoa shida za jimboni kwake(haiihitaji uende shule) na kuwaponda upinzani hana chochote cha ziada.
Huyo kinachomsumbua ni inferiority complex, na ndiyo maana sheria za nchi hii inabd zifanyiwe some adjustments cz huwezi kuwa kiongozi unaenda kupigania haki za wananchi wkt ww mwenyewe haki zako huzijui matokeo yake jamaa usiku kucha ni kuponda elimu na kusifia darasa la saba kisa yeye ni darasa la saba lkn ni mbunge, anashindwa kuelewa kwamba kukosa kwake elimu sio kosa la elimu.Huyu jamaa huwa ananikera sana, sijui ni kwanini huwa anaona sawa kusifia darasa la saba. Ni kama vile anatulazimisha kuamini darasa la saba pia wapo vizuri kushinda maprofesa wakati yeye mwenyewe nje ya kutoa shida za jimboni kwake(haiihitaji uende shule) na kuwaponda upinzani hana chochote cha ziada.
Ndugu katiba ya Tanzania inaruhusu kuchagua au kuchaguliwa.Huyo kinachomsumbua ni inferiority complex, na ndiyo maana sheria za nchi hii inabd zifanyiwe some adjustments cz huwezi kuwa kiongozi unaenda kupigania haki za wananchi wkt ww mwenyewe haki zako huzijui matokeo yake jamaa usiku kucha ni kuponda elimu na kusifia darasa la saba kisa yeye ni darasa la saba lkn ni mbunge, anashindwa kuelewa kwamba kukosa kwake elimu sio kosa la elimu.
Anatumia kukosa kwake elimu km excuse ya kuendelea kumweka bungeni, ifike mahali hawa wapuuzi wasiwe na mandate ya kuingia bungeni, wasomi wengi nchi hii inakuwaje ngumbaru km huyu aongoze watu na elimu zao?
Hapa Sama boy 255 itabidi niwapongeze. Mumechukua hatua nzuri sana kuanzisha kiwanda hiki cha kurefine gold. Hapa sasa mpo sawa sana. Mimi nafurahi kuona maendeleo haya. Sisi Waafrika mambo ya kuexport gold ores in raw form tuwache. Yaani Africa tunazidi kusonga mbele.. Mwanza is rising too high
Government work goes on paper to keep it secret..Mbona mzee bado anatumia mafaili katika 21st century? Mbona hatumii tarakilishi? Amekwama katika mitindo za kizamani sana.
View attachment 1725107
Nakuelewa lakini tupo katika era ya smartphone. Ni rahisi mtu kuvizia na kupiga picha secret document.Government work goes on paper to keep it secret..
Kama ilivyo rahisi kuhack digital devices!Nakuelewa lakini tupo katika era ya smartphone. Ni rahisi mtu kuvizia na kupiga picha secret document.
Ndomaa kasema katiba inahitaji amendments to cure those defects and suit the needs of this century. Kenya wamemchagua sonko sioni kama huo ni mfano sahihi. Sema kweli akiongea Bashe na Msukuma we utaondoka umemuelewa nani?Ndugu katiba ya Tanzania inaruhusu kuchagua au kuchaguliwa.
Jifunzeni siasa. Anayo haki ya kuongea hayo. Ndiyo maana nchi yetu inaizidi Kenya kwenye demokrasia.