Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


huu mradi mzuri sana asee... na vile mabas yajayo yatatumia gesi yetu [emoji736]
 
Lakini phase 3 ingefika pugu kwenye sgr terminal ingekua integration kubwa sana ya miundo mbinu
Hata mm nilikuwa nahisi itafika Pugu mana mtu km anatoka JNIA na anataka kutembelea mikumi national park anakwenda zake Pugu fasta anachukua electric train mpk moro anamaliza mambo yake fraction a second.
 
Pia ki ukweli wengi wao hawapaswi kuwa wafanyabiasha. Hawana kabisa haiba ya biashara. Kimsingi tunapaswa kuwekeza nguvu zaidi kwenye industry sector ili iwameze hawa kama wafanyakazi.

Pia serikali iongeze kasi ya uwekezaji kwenye kilimo hususani kwa kujenga miundombinu ya umwagiliaji.

Kuwa na hawa wafanyabiashara wadogowadogo wengi kupita kiasi kunaleta distortion kwenye sekta ya biashara.

Mimi ni shabiki wa uchumi ambao means za uzalishaji zinamilikiwa na watu wengi zaidi lakini ni lazima pawe na control.

Uchumi mzuri hauhitaji "wafanyabiashara" wengi sana bali unahitaji "wazalishaji" wengi sana.
 
Nani kachanganyikiwa wewe mama muuza utumbo? Endeleeni na chanjo za majaribio. Kama tutaamua kuchanja watu wetu chanjo ya Covid-19 tutatumia ile ambayo itakuwa reliable.
Nyie mnajifukiza bana chanjo reliable za kazi gani tena..
Tumeni barua ya kujitoa WHO
 
Ifike Pugu ili iunganishe Pugu SGR Terminal na Dar SGR Terminal na JNIA at a go! Ikija kujengwa commuter line from JNIA to Pugu iunganishe Mbezi Bus Terminal na pia Dar SGR Terminal mambo yatakuwa kama Ulaya!!
Enhee umenikumbisha hivi ile Kibaha Highway itakuwa na BRT?? sasa vituo vitakuwa wapi au brt haitajengwa hv karibuni??
 
Hata mm nilikuwa nahisi itafika Pugu mana mtu km anatoka JNIA na anataka kutembelea mikumi national park anakwenda zake Pugu fasta anachukua electric train mpk moro anamaliza mambo yake fraction a second.
Halafu iwe ya Kiwango kizuri zaidi i mean hata vituo vyake viwe tofauti na hivi viboreshwe zaidi mandhali ivutie zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…