Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So kenya ana ka indian ocean nusu??? [emoji2958][emoji1]
 
Kuna vita inaendelea pale twitter Kati ya wakenya na watanzania lakini naskia nyie huko bongo TISS imewazimia mtandao wa twitter. Sasa eti mnatumia VPN.🤣🤣🤣🤣

Don't ever mess with Kenyans on twitter 🤣🤣

 
Endeleeni kujifurahisha naona ndio kazi iliyobaki baada ya corona kuwatafuna mbwa nyinyi
 
Tukileta post za watz utasema wanatumiwa na mabeberu[emoji1787][emoji1787]
Au nilete sai uanze kulia lia
Hii ni post ya mtu au ni official media from kenya wewe mpuuzi nini 🤣🤣🤣👇👇👇
 
Alaf mpuuzi mmoja anakwambia umeme utabaki idle 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…