Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So, East Africa zitakuwepo 3level interchanges mbili tu moja na ya kwanza ikiwa Dar na nyingine Mombasa au sio [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji86][emoji205][emoji205]
Mombasa zinakuja 3 ila si moja kama Dar.
 
2022 itasemekana "tumepika data" coz of the gap., what is happening, am watching...
 
Wanadhani ni moja.

Halafu, zile zinakuja Nairobi kwenye Nairobi express, Viaa duct over Langata na ingine hii ya upperhill zitakuwa ngapi mkuu??
Tafuta interchange ya level tatu ukipata kenya nzima nitag na kama hakuna kwanza chukua hii picha uweke kwenye phone server yakoπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Eti zinakuja na hazionekani 🀣🀣🀣 mwengine anakwambua wanajenga bridge lakini cha ajabu hatuoneshi mkichimba baharini
zinajengwa usiku na mchana. usije kupata aibu kama ile ilokupata kwenye Nairobi expressway.
 
We jamaa unakazwa na ******* wenzako nini, unaleta vitu ambavyo vinajulikana tayari. Mpaka wa somalia na kenya haupo straight, kenya na tanzania haupo straight, tanzania na msumbiji haupo straight sasa hapa point yako ni nini? Mgogoro kati ya somalia na kenya bado upo mahakamani unasikilizwa ex parte, maamuzi yakiwafavor somalia maana yake kenya pia anaweza kuishtaki tanzania. Sihalalishi uonevu nakwambia uhalisia kenya hawezi kuacha hilo eneo alafu aje aishtaki tanzania kama ikitokea ameshindwa sababu haiingii akilini. Na uache kutumia kutumia hisia kama mtoto wa kike.
Wacha upumbavu kwahiyo kwavile ni rahisi Kenya kuimiliki Somalia kwahiyo unahalalisha wizi?Watu mnaongelea border ya Tanzania na Kenya as if border ya Tanzania na Mozambique ipo straight!

 
zinajengwa usiku na mchana. usije kupata aibu kama ile ilokupata kwenye Nairobi expressway.
View attachment 1725815
Uhehehehhe kwamba tukiona tu scarveter popote tujue interchange 🀣🀣🀣 yani huo ndio ushahidi wako

nikupe ushauri kwa sasa mamabo ya three level iachie dar πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…