Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa ndo walivyo hata SGR yao waliipigia sana kelele kabla ya hii ya kwetu kuanza kuonyesha superiority! Saa hii hata Nairobi Terminus haitajwi tena yaani imemanuliwa chalii na Magufuli bus terminal alone!

CC: Tony254 na Capt Richie
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]wakenya ni wapuuzi sana ramani ,mipaka kila kitu kinaelezeka hata kwa picha tu,,,,mnailalamikia ICJ kuwa inapendelea mnaomba poo eti mambo ya kesi ihairishwe kwa kizingizio cha corona,mnaomba jaji wa somali ajitoe ,,,

mmeshtukiwa hakuna cha kesi kuhairishwa kesi itaendelea kama kawaida jumatatu tena online[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji6][emoji6][emoji6]
 
aliyekataa ni nani jamani,,mbona mi nimekubali kila kitu,,,,

unatatizo gani..?...labda naweza kukusaidia
Endelea kujitoa ufahamu tu, ila usijali hyo ndio hali kw sasa..
Ukubali, ukatae au basi ujitie hamnazo
 
wakunya saidianeni jamani wazee wa GDP uchumi mkubwa duniani,,,

ila huyu mkenya mwenzenu miguu imekosa afya imekaa kama miguu ya mbuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1725487
Hii ni Hali ya kawaida sana Kenya. When i was in Nairobi about a year ago, barabarani nilikuwa naona wakenya wengi tu wameshikilia mambango wanatafuta kazi. Yaani sijawahi kuona hii kitu Tanzania hata siku Moja.
 
Umeona mpaka gani wa majini unaokatatiza vertically, yani hapo somalia ikishinda tu itabidi na sisi tunyakue mpaka pemba.
 
Hii ni Hali ya kawaida sana Kenya. When i was in Nairobi about a year ago, barabarani nilikuwa naona wakenya wengi tu wameshikilia mambango wanatafuta kazi. Yaani sijawahi kuona hii kitu Tanzania hata siku Moja.
Uongo mtupu. Nairobi kisanga kama hiki cha mtu kushika bango eti anatafuta kazi ni nadra sana.
 
Tunaikujia pemba wakishinda
 
Hii ni Hali ya kawaida sana Kenya. When i was in Nairobi about a year ago, barabarani nilikuwa naona wakenya wengi tu wameshikilia mambango wanatafuta kazi. Yaani sijawahi kuona hii kitu Tanzania hata siku Moja.
Kwhyo km hujaona ndio hakuna hko kwenu, hzo kazi milioni 8 mlikua mna mtaka kuwapa akina nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…