Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Another fool Kenyan talking without any credible source, wapi umehakikisha kwmb anapumulia mashine, hivi ndivyo politicians wanakula pesa zenu kipumbavu kwa kuwaongopea kizembe na nyie mnakubali bila ku entertain critical thinking.
mkuu tulishaongea hizo syor ni zakupotezea
 
Alaf utaskia wako busy na magufuli nchi imewanyea 🤣🤣🤣🤣
 
Wakenya bwana eti Mombasa tuna jambo letu jingine pale Kamata Junction, Interchange nyingine ya kibabe kbs yaja imetengwa kbs na barabara nyingine za juu ndani ya Dar es Salaam,ukiona umeandikiwa mradi wa kielelezo kaa vizuri yajayo yanafusahisha. Hii ni ripoti ya ukomo wa bajeti iliyowasilishwa juzi tu na Waziri wetu wa fedha mzee wetu Daktari Phillip Mpango.Bado naendelea kuisoma kwa umakini mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…