Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,302
- 2,130
mbona imejengwa kibahili sana hii mzee. Hio njia ya chini kabisa nadhani lengo ilikuwa kukwepa kuweka njia ya juu tu kwa sababu hata hiyo ya juu nayo mmeiminya sana.View attachment 1725298
Ya kwanza zimepiata underground then ground level then juu
Machuma kibao kumbe yanabeba tani 25 tu.
Haina shida nguvu au bila nguvu wapi raisi wenyu?Kwa hiyo kama hajahudhuria misa ninyi wakenya inawahusu mini?, sisi huku wala hatujui kama Uhuru Kenyatta anaenda kanisani, hii inaonyesha ni kiasi gani Tanzania ilivyo na nguvu Africa nzima, hasa kwa Kenya.
You'll have a hard time lecturing them on thisView attachment 1725298
Ya kwanza zimepiata underground then ground level then juu
Ni vile drone iko juu huwezi ona vizuri ni kubwa sana na chini zimepita Tatu wacha natafuta picha borambona imejengwa kibahili sana hii mzee. Hio njia ya chini kabisa nadhani lengo ilikuwa kukwepa kuweka njia ya juu tu kwa sababu hata hiyo ya juu nayo mmeiminya sana.
Amekufa, alilazwa Nairobi, akapelekwa India, akarudi Tanzania Mzena Hospital akajifia, Leo ndio tunafanya mazishi yake.Haina shida nguvu au bila nguvu wapi raisi wenyu?
si unajua interchange za Kibera lazima zikae Kibera-kibera!!mbona imejengwa kibahili sana hii mzee. Hio njia ya chini kabisa nadhani lengo ilikuwa kukwepa kuweka njia ya juu tu kwa sababu hata hiyo ya juu nayo mmeiminya sana.
Tutabadilisha ile siku mtaacha kutuma watoto wenu waje kusoma huku na kuwapa nafasi za Kwanzaa watanzania waliosoma Kenya likija swala la ajiraWe unataka awe wapi kwa mfano, Rais ni Watz anaishi Tz unataka awe wapi. Mnamhusudu Magu mpk it's too much, Magu ni zao la elimu ya Tz na nyie badilisheni mfumo wa elimu yenu mtengeneze vichwa na wazalendo dizain ya Magu.
unaongea ambavyo tumekuwa navyo toka JK era! Uache ujinga! Kwahiyo Uhuru hupiga sahihi na stamp ya electronic sio maana unadai hakuna mafaili ofisini kwake! Unasahau unabishana na watu IT experts wanaojua hardcopy documents r still there for records though get digitized!Ukitaka passport huko kwenu una-apply online?
Kibera, Nairobi Kenia. La dura vida dentro del barrio pobre más grande de Africa. Nos adentramos por los callejones del ghetto más grande de todo el continente africano para conocer más a fondo sobre la vida en este lugar.
Unataka credible source wakati wewe hapo hata hujui rais wako mpendwa yupo wapi 😂
Do you know something called 'damage control'?Waziri mkuu alisemaje? Kama umeamua kufuata tetesi chaguo ni lako.
unaweza tumia[emoji116]
Vinu vimeanza!!!
ni kweli kabisa tena siyo nairobi peke yake huwa wanapitia kenya nzimaUgua pole pole mzee baba, nyie vigogi wenu lazima wapitie nairobi kwanza wanapoumwa alafu ndio watacheki km watapelekwa wapi
ndiyo ni mwendo wa chee mwanzo mwisho..Reli yetu sisi bei chee kumbe nako kutakua chee km bei gharama zake[emoji1787][emoji1787]
uache ujuaji wa kijinga na kuleta hoja za kitoto ,,,file na tarakishi vyote vyote vinatumika hakuna nchi isiyotumia..Hizo ni executive orders anazotia saini ambazo ni tofauti na file. Unajua siku hizi mambo mengi tunayafanya kwenye tarakilishi. Badala ya mafaili tunadeal na softwares. File bado zinatumika lakini sio sana kama zamani. Hata wewe ofisini najua unatumia tarakilishi sasa itakuwaje huyu mzee wenu haitumii?
Huku Kenya many govt services zimepelekwa online. Kwa mfano ukitaka ku-apply for passport una-apply online, malipo unafanya through Mpesa au credit cards e.t.c. Hata taxes siku hizi unalipia tu through Mpesa hata saa nne usiku sio kama zamani ambapo tulikuwa tunakwenda kulipa taxes kwenye benki na kupanga foleni kwa muda mrefu. Yaani teknolojia inarahisisha mambo. Mambo ya kupanga foleni kwenye benki imekuwa nadra. Kuna online banking pia. Lakini TZ najua hamuwezi kukosa kupanga foleni maana services za kiserikali hazipo online na pia pengine services za online banking za benki zenu sio nzuri.