at mtu aknambia swala la kodi simwelewi kabisa!!!
nnachozungumza ni mazingira kwa mgeni ambae hajakidhi hadhi ya kua investor yani wenye mitaji chini ya tsh100ml iwe rahisi kwao kufungua biashara myb tunaeza kutengeneza mfumo wao tofauti wa wao kufanya kazi/biashara bila kuathìri sera yetu ya uhamiaji right?
Hiyo ya kutengeneza mazingira rahisi kwa wageni kuishi nchini kutokana na manyanyaso ya sehemu wanayotoka, Tanzania imeshafanya sana. Nyerere aliwakaribisha wapalestina kuishi na kufanya biashara Tanzania kutokana na manyanyaso ya kule Gaza. Tena nafikiri walikuwa wanaingiza bidhaa bila ushuru, jamani msichukulie poa systemic racism.Kaka sidhani kama wanastahili hiyo special status unless kuna kitu chanya wamekiingiza kwenye jamii yetu lakini sio kwa kigezo wao ni weusi. Ni wageni kama wageni wengine wawe treated sawa tu. Kama wahindi, wazungu na wakenya wamewekeza sana hapa na hawana special status zaidi ya kupewa eneo la uwekezaji kwanini hao wapewe uspecial? Kumbuka hatufaidiki chochote na rangi ya ngozi yao.
Mwili wa marehemu bado umelazwa hospitali ya Mzena . Letu tu ni kusubiri tangazo maalum.
[emoji41][emoji41]
View attachment 1724445
Why would you say that, do you suggest the road shouldn't have been expanded or?haya ndiyo matumizi mabaya ya fedha,,,,mnajenga vitu for nothing huko vichakani hakuna haja ya kujenga huo utopolo......hakuna ubize wowote kupo kupo tu[emoji6][emoji6][emoji6][emoji1787][emoji1787]
It's crowded during the rush hour bro.That is simply not true. NY subway is not crowded like that. Show me evidence for that. There are many videos online of NY subway and they are not crowded like that.
Huyu Richard Mabala ndiye yule muandishi wa vitabu? Alikuwa raia wa wapi kabla ya kupata uraia wa Tanzania?Mzungu Afrika anachukulia sehemu duni tu lakini bado amewekeza tofauti na African Americans ambao wengi wameanza kuja hii miaka 2 tu iliyopita na wanakuja kukwepa ubaguzi wa marekani ila lengo kuu sio uwekezaji. Kuna mmoja anaitwa Dynast ana channel yake inaitwa search for uhuru anademand citizenship na ardhi kwa nchi ambazo hazitoi uraia kirahisi kana kwamba tuna wajibu wa kuwapa huo uraia na kigezo chake wao ni weusi walichukuliwa kama watumwa.
Hawa watu baadhi wana malengo mazuri lakini ni wa kwenda nao kwa tahadhari kwa sababu jamii yao huko marekani imeharibika kupitiliza(pitia documentaries za chicago na detroit uone).
Kingine Richard mabala amebadili uraia na kuwa mtanzania baada ya kuishi muda mrefu na kuingiliana na wazawa hivyo basi hata hawa wamarekani kama wanakupenda sana huku sioni shida wao kufanya kama alivyofanya mabala sio hizi drama zao wanazoleta sasa hivi.
Ndiyo huyo huyo, alikuwa ni raia wa Uingereza.Huyu Richard Mabala ndiye yule muandishi wa vitabu? Alikuwa raia wa wapi kabla ya kupata uraia wa Tanzania?
mkuu tulikubaliana kuwa hizo habari za magu zikipostiwa hapa na wakunya ni tunazipotezea hayo maswali tushawauliza sana,tunakuwa tunapoteza mda na wajingaOi hivi kwann mnafurahia hili jambo ? Au kisa development yetu
mmepoteza pesa kuna namna nyingi ya kuexpand road,,,,hiyo sehemu haikidhi vigezo kuwa hivyo,,,,,,,mnafanya vitu kwa kurash rash for nothing,,,Why would you say that, do you suggest the road shouldn't have been expanded or?
Kweli ni mzalendo aisee yn kaukana uraia wa Uingereza na kuamua kuwa mTz inapendeza sana.Ndiyo huyo huyo, alikuwa ni raia wa Uingereza.
Jamaa huwa wanachekesha sana, huwa wanatengeneza miundombinu mengine ambayo ktk sehemu ilipo haina tija ilimradi tu nao waonekane wanacho, utakuta wanajenga tunnel sehemu ambayo wala hakuna ulazima wa tunnel.mmepoteza pesa kuna namna nyingi ya kuexpand road,,,,hiyo sehemu haikidhi vigezo kuwa hivyo,,,,,,,mnafanya vitu kwa kurash rash for nothing,,,
kwani mngetandika mkeka wa kawaida na kuweka hata junction mngepungukiwa nini,.?..japo kuwa hiyo sehemu hata junction yenyewe inavyoonekana haipaswi kuwepo...
matumizi mabaya ya rasilimali pesa
tuendelee kuwaenjoy mkuu,,,,,Jamaa huwa wanachekesha sana, huwa wanatengeneza miundombinu mengine ambayo ktk sehemu ilipo haina tija ilimradi tu nao waonekane wanacho, utakuta wanajenga tunnel sehemu ambayo wala hakuna ulazima wa tunnel.
Elimu imeshindwa kumsaidia Mkenya.
Aliskika meffi mmoja kutoka tandale.Jamaa huwa wanachekesha sana, huwa wanatengeneza miundombinu mengine ambayo ktk sehemu ilipo haina tija ilimradi tu nao waonekane wanacho, utakuta wanajenga tunnel sehemu ambayo wala hakuna ulazima wa tunnel.
Elimu imeshindwa kumsaidia Mkenya.
Kama kawaida chuki, wivu bila hoja zenye mashiko.tuendelee kuwaenjoy mkuu,,,,,
wakenya ni vituko vya dunia wazee wa local structure[emoji1787][emoji1787]
Ila kuna kitu huwa najiuliza inakuwaje mzungu anaitwa Mabala, hili jina limekaa kibantu bantu hili.Ndiyo huyo huyo, alikuwa ni raia wa Uingereza.
hakuna chuki hapa,,Kama kawaida chuki, wivu bila hoja zenye mashiko.
Burden of proof lies with you, wewe ndo ulisema hiyo project haina maana, sasa with evidence back up your claim. Na kama unamaswali zaidi consult google hapa hatufanyi spoon feeding.hakuna chuki hapa,,
hebu niambie hiyo sehemu inachangamoto gani ya maana ambayo inasababisha mjenge hivyo....?
hebu nielekezeze comrad
Tuache utani Station ya Morogoro imetokea bomba sana sio kama wengi wetu tulivyotegemea.
Tanzania ni nchi ya kipekee sana hapa duniani, asikuambie mtu.Kweli ni mzalendo aisee yn kaukana uraia wa Uingereza na kuamua kuwa mTz inapendeza sana.
Hilo jina alijipa mwenyewe.Ila kuna kitu huwa najiuliza inakuwaje mzungu anaitwa Mabala, hili jina limekaa kibantu bantu hili.