THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
Ni kweli kaka biashara kwanza ndo mengine yanafuata sisi kwanza halafu wengine wafuate,sema si kitu cha ajabu kupewa kipaumbele we ukienda marekani na shida zako na mzungu katokea ufaransa unafikiri nani atapewa nafasi ya kwanza?!,Hawa jamaa wanakuja na positive mind ya kuwekeza Africa ijapokuwa miaka mingi imepita ila asili yao ni huku... kwa namna moja ama nyingine wanapaita motherland,we unafikiri mzungu anapachukulia hivyo!!!kwa kashikashi wanazopata kule wangetamani wahamishe kila kitu waje navyo huku kwny amani na utu,sema ukweli uko wazi waafrika walioko US hawaivi ile na African Americans, attitude na kugombania mkate ni janga!Hampendani.Rudini kwenu.Kaka sidhani kama wanastahili hiyo special status unless kuna kitu chanya wamekiingiza kwenye jamii yetu lakini sio kwa kigezo wao ni weusi. Ni wageni kama wageni wengine wawe treated sawa tu. Kama wahindi, wazungu na wakenya wamewekeza sana hapa na hawana special status zaidi ya kupewa eneo la uwekezaji kwanini hao wapewe uspecial? Kumbuka hatufaidiki chochote na rangi ya ngozi yao.
Kwa anaependa afate taratibu abadili uraia awe mbongo tu atapata privileges za mtanzania kwenye ewekezaji ingawa najua hawawezi kufanya hili.
kawaida kwa wabongo ku trend kenyaHahaha. Magufuli trending at number 1 on Kenyan twitter sasa hivi tunavyozungumza
View attachment 1724573
next dodoma baba lao 🇹🇿🇹🇿The next station is................
View attachment 1724556
next dodoma baba lao [emoji1241][emoji1241]
em tukumbushe render inakaaje ili kueka kumbukumbu sawa!!
maguphobia is real
Tweet inayofuatia hata ukimultiply mara mbili haimfikii magufuli. Mje tu bongoland mumuulizie anaendeleaje?Hahaha. Magufuli trending at number 1 on Kenyan twitter sasa hivi tunavyozungumza
View attachment 1724573
Kweli lakini urahisi wa kufungua biashara hata sisi wazawa tuna hiyo changamoto hivyo mfumo mzima wa biashara na kodi inabidi upitiwe tena.urahisi wa kufungua biashara ni kitu tunatakiwa kukiangalia upya
at mtu aknambia swala la kodi simwelewi kabisa!!!Kweli lakini urahisi wa kufungua biashara hata sisi wazawa tuna hiyo changamoto hivyo mfumo mzima wa biashara na kodi inabidi upitiwe tena.
That's expected for a city of 6m people, NYC subway is more crowded than that.Si mnunue mabasi ya kutosha nyinyi Malazy. Ona hawa watu. Haya mabasi mnayofinyana kama nyumbu ndio huwa mnaturingia?
Mzungu Afrika anachukulia sehemu duni tu lakini bado amewekeza tofauti na African Americans ambao wengi wameanza kuja hii miaka 2 tu iliyopita na wanakuja kukwepa ubaguzi wa marekani ila lengo kuu sio uwekezaji. Kuna mmoja anaitwa Dynast ana channel yake inaitwa search for uhuru anademand citizenship na ardhi kwa nchi ambazo hazitoi uraia kirahisi kana kwamba tuna wajibu wa kuwapa huo uraia na kigezo chake wao ni weusi walichukuliwa kama watumwa.Ni kweli kaka biashara kwanza ndo mengine yanafuata sisi kwanza halafu wengine wafuate,sema si kitu cha ajabu kupewa kipaumbele we ukienda marekani na shida zako na mzungu katokea ufaransa unafikiri nani atapewa nafasi ya kwanza?!,Hawa jamaa wanakuja na positive mind ya kuwekeza Africa ijapokuwa miaka mingi imepita ila asili yao ni huku... kwa namna moja ama nyingine wanapaita motherland,we unafikiri mzungu anapachukulia hivyo!!!kwa kashikashi wanazopata kule wangetamani wahamishe kila kitu waje navyo huku kwny amani na utu,sema ukweli uko wazi waafrika walioko US hawaivi ile na African Americans, attitude na kugombania mkate ni janga!Hampendani.Rudini kwenu.
Kaka swala la kodi unaweza unaweza usilielewe lakini binafsi nimekutana na hizo shida za kodi.at mtu aknambia swala la kodi simwelewi kabisa!!!
nnachozungumza ni mazingira kwa mgeni ambae hajakidhi hadhi ya kua investor yani wenye mitaji chini ya tsh100ml iwe rahisi kwao kufungua biashara myb tunaeza kutengeneza mfumo wao tofauti wa wao kufanya kazi/biashara bila kuathìri sera yetu ya uhamiaji right?
That is simply not true. NY subway is not crowded like that. Show me evidence for that. There are many videos online of NY subway and they are not crowded like that.That's expected for a city of 6m people, NYC subway is more crowded than that.
Morogoro is so LovelyThe next station is................
View attachment 1724556
Noma, it looks simple and classicThe next station is................
View attachment 1724556