Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


with all that,nairobi is considered a crime heaven.after each hour,someone is robbed or killed in relation to crime.
970edf43941b34a225d40092b92a4196.jpg
 
Dar es salaam kuna city train inayozunguka within the city je nairobi ipo???????
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Hawa jamaa maneno mengi na utapeli tapeli tu. Halafu wanataka kuleta utapeli kwenye vitu ambavyo viko wazi kabisa. Wanadhani Tz bado ni miaka ya 80s.
Hawataki kukubali mabadiliko haya makubwa.
Wanaumia unafkiri watakubali vp
Wanaugua ndani kwa ndani 😀😀😀😀😀
 
Nairobi mji mdogo sana huo.
Sana tena inaingia mara tatu kwa dar
Mwingine anafananisha kasarani stadium na uwanja wa taifa 😀😀😀😀
Wanaona aibu kukubali tunao uwanja wakimataifa
Bado wa dodoma sasa tunaojenga hatariii
 
Sana tena inaingia mara tatu kwa dar
Mwingine anafananisha kasarani stadium na uwanja wa taifa 😀😀😀😀
Wanaona aibu kukubali tunao uwanja wakimataifa
Bado wa dodoma sasa tunaojenga hatariii


Hahaha. ...I like your comedy
 
ichoboy01
Na mie nawakumbushia watutumie usafiri wa barabara wanatumia mabasi gani.

Jiji limejaa Chai Maharage balaa.
Nakumbuka makanga(makondakta) wao wanaitisha abiria sometimes kwa kiruga
 
Back
Top Bottom