Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Some Kenyan apps ata team mafisi wako na app
b5393aa60888d66752f7717313f9e086.jpg
3647cd4f4a30edcfbeadc569c563a097.jpg
c549dfc2661156d8ecba429d4c6d1207.jpg
803e50482f5e4eaccc34ccd29ee710a5.jpg
33dd2ab2fefa5ea01fb848672ae3c16b.jpg
5d1df2d07f671e883bab29879c49df93.jpg
172e57a83d13f81d0b5c7f10274aa79a.jpg
646e61d7dfb07d832f7980422a1b8638.jpg
309d4f33896c7663e7de94de65f26d81.jpg
0f4cd8a496cae77c4a20716d4af47325.jpg
e6939ef743b43b910b1582da61390414.jpg
912f08f76f40c2208dc97ca27684cb94.jpg
8a94564b4652e15d9921f88faa130999.jpg
21b1784f9910dbe087ac386e43885906.jpg
4193174bdee0e899d1dd59d7aae93a4c.jpg
17270d8b67b56f0a2715ec1d4404877b.jpg

NB: All banks in Kenya have applications or online banking
 
Toa pumba zako hapa we are talking about digital driving license. Wewe unakuja kuimba mapambio.
Kenya hakuna digital driving license usilete ujuaji.
Sawa mpumba mwenza,wivu imekunasa kweli
 
Hii battle ya Technology pengine tubishane na Nigeria hapa hakuna kazi.
 
Toa pumba zako hapa we are talking about digital driving license. Wewe unakuja kuimba mapambio.
Kenya hakuna digital driving license usilete ujuaji.
You are right yetu sio digital it's called Smart Electronic. Digital ilishapitwa na wakati.
 
DL tunatoaga online tangu..ata good conduct certificate etc ni online
wewe ni mnjinga kweli. Eti unajifanya mtu wa IT. Acha upumbavu wewe basi.
Online is very simple thing. Hapa bongo systems nyingi tu zipo online. Nataka smart card driving license. Nakwambia kenya hakuna. Wewe unaleta ujinga ujinga kama mtoto kana kwamba kutengeneza mobile app ni kazi. Mbona mtoto wangu wanatengeneza hizo apps!?
 
Leta evidence watoto wako wanatengeneza apps wacha ushenzi
 
wewe ni mnjinga kweli. Eti unajifanya mtu wa IT. Acha upumbavu wewe basi.
Online is very simple thing. Hapa bongo systems nyingi tu zipo online. Nataka smart card driving license. Nakwambia kenya hakuna. Wewe unaleta ujinga ujinga kama mtoto kana kwamba kutengeneza mobile app ni kazi. Mbona mtoto wangu wanatengeneza hizo apps!?
Sasa kwanini hamna banks kwa mabenki na tuko 21st century????.....
 
wewe ni mnjinga kweli. Eti unajifanya mtu wa IT. Acha upumbavu wewe basi.
Online is very simple thing. Hapa bongo systems nyingi tu zipo online. Nataka smart card driving license. Nakwambia kenya hakuna. Wewe unaleta ujinga ujinga kama mtoto kana kwamba kutengeneza mobile app ni kazi. Mbona mtoto wangu wanatengeneza hizo apps!?
Mobile app si rahisi vile unadhani
 
wewe ni mnjinga kweli. Eti unajifanya mtu wa IT. Acha upumbavu wewe basi.
Online is very simple thing. Hapa bongo systems nyingi tu zipo online. Nataka smart card driving license. Nakwambia kenya hakuna. Wewe unaleta ujinga ujinga kama mtoto kana kwamba kutengeneza mobile app ni kazi. Mbona mtoto wangu wanatengeneza hizo apps!?
So watoto wako hutumia language gani kwa android app?
 
Hii battle ya Technology pengine tubishane na Nigeria hapa hakuna kazi.
Dogo unajisifu ujinga. Nimekupatia vitu vichache tu. Halafu unaanza kuleta issue zaa ajabu mara uzinduzi wa Sumsung tv. Sumsung mnatengeneza kenya!? Acha ujinga wewe.
nimekupa Digital driving license umekimbia, nimekupa digital traffic notification umekimbia. Nimekupa smart card BRT umekimbia. Nataka ujibu kwanza hivyo. Ninakupa vitu vilivyopo tz.

Unajisifia ujinga tu. Nimekuonesha Tanzania ni source ya Fiber network east and cetral Africa, umebaki kuimba imba na sifa za kijinga.
Unaongelea Apps, hivi unadhani hatuna apps. Zipo apps nyingi mno hapa tz.
TRA payment zote ni online, trafic offence unalipa online.
kuna EFD machine kwa kukusanya kodi.
Maxmalipo Africa inaunganisha payment zote online. Acha ujinga wewe.
 
So watoto wako hutumia language gani kwa android app?
Anatumia JAVA. Na sasa hivi ninamfundisha kutumia .net. Maana visual studio 2017 ipo cross platform (windows phone, android, iOS) kwa kutumia C#.
acha ujinga wewe. Wewe bado ni nyanya sana. 2009 Nilikuwa nafanya programming na vijana fulani wa kenya, walitia adabu wakasinyaa na kuacha masifa ya kijinga, sasa hivi ni wastaarabu. Wewe umejua juzi tu programming za kuonesha popup messages ndio unakuja kulia lia hapa.
 
Sema app yake tu download
 
Tuko battle hapa....kwanini benki zenu hazina app??
 
You are right yetu sio digital it's called Smart Electronic. Digital ilishapitwa na wakati.
Wewe mjinga sana hujui hata maana ya digital. Digital kinyume chake ni analog.
Sasa mtu hujui hata maana ya digital tunaweza kweli kuongea!?
Wewe ni mbumbumbu na hujui chochote unajifanya unajua. Unajiaibisha vibaya sana. Eti ndio unajiita unajua. Waambie waje wanaojua tujadiliane hapa sio wewe mbumbumbu hujui chochote.

Smart card is a digital card. Huwezi ukapata smart card analog. Mshamba wewe. Tena jifukie kwenye mashimo usirudi tena.
 
Back
Top Bottom