Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Road umekubali....twende Airport
Airport and Road mnatupita kidogo. Sisi bado tupo kwenye ujenzi wa Airport so nitaweka tu unfinished okay.

julius-nyerere-airport-terminal-3-tanzania-02-616-14623742711986044243.jpg

julius-nyerere-airport-terminal-3-tanzania-04-616-1462374271743448996.jpg

julius-nyerere-airport-terminal-3-tanzania-14-616-14623742822070721021.jpg

unnamed%2B%25283%2529.jpg

So next year ndio itakuwa tayari hapo nakupa point. Leta kingine tofauti na Road and Airpot
 
ooohhh naona unataka technology. I hope hautaanza excuses ju hapa hutaona kitu.
Kwa technology njoo tuone unasemaje. Nimekuwekea Optical Fiber nataka unijibu kwa hilo siyo maneno.
 
Airport and Road mnatupita kidogo. Sisi bado tupo kwenye ujenzi wa Airport so nitaweka tu unfinished okay.

julius-nyerere-airport-terminal-3-tanzania-02-616-14623742711986044243.jpg

julius-nyerere-airport-terminal-3-tanzania-04-616-1462374271743448996.jpg

julius-nyerere-airport-terminal-3-tanzania-14-616-14623742822070721021.jpg

unnamed%2B%25283%2529.jpg

So next year ndio itakuwa tayari hapo nakupa point. Leta kingine tofauti na Road and Airpot
Airport mmekubali...twende Railway sasa
 
LDC inanyorosha DC

WAKATI baadhi ya wafanyabiashara wa Tanzania wakidai malori yaliyokamatwa yalikuwa hayatoroshi mahindi kwenda Kenya, wafanyabiashara wa Kenya walifika mjini Humo Jumanne juzi na kufanya vikao na wenzao wa Tanzania.

Inadaiwa katika kikao hicho, Wakenya walioingia nchini kwa mgongo wa ujirani mwema walitoa shinikizo kwa wenzao wa Tanzania wawape mizigo yao au warudishe fedha.

"Wako kwenye wakati mgumu maana wao (Wakenya) walishalipa kila kitu mpaka fedha za kusafisha njia. Sasa wanashangaa kwa nini yamekamatwa,” gazeti la Mwananchi lilidokezwa na chanzo chake.

Kwa mujibu wa vyanzo vya habari, inadaiwa kuwa wafanyabiashara ambao malori yao yamekamatwa wanashinikiza yaachiwe kwa kisingizio hayakuwa yakienda Kenya kwa vile yalikamatwa Himo.

Ofisa wa Polisi ambaye hakutaka jina lake litajwe alilithibitishia gazeti hili kuwapo kwa wafanyabiashara wa Kenya ambao wanaendelea kufuatilia nyendo zao kujua ni lini wataingia tena.

“Tulipata taarifa juzi kuwa waliingia na walikuwa wakifanya kikao pale stendi Njiapanda na baa moja pale Himo lakini inaonekana taarifa zilivuja wakatawanyika,” alisema ofisa huyo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Hamis Issah alipotafutwa kwa simu jana alijibu kwa kifupi kuwa alikuwa kwenye kikao cha Kamati ya Ulinzi na Usalama.

Mwenyekiti wa Mji Mdogo wa Himo Jamal Hussein, alikiri kwa wafanyabiashara kutoka Kenya kuingia Himo kwa kigezo cha ujirani mwema lakini hajui kama wanahusika na mahindi.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira aliwaambia wanahabari kuwa katika operesheni ya kudhibiti utoroshaji wa chakula wameshakamata malori

Kamatakamata hiyo iliongezewa nguvu na amri ya Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa aliyeagiza mahinndi yatakayokamatwa yakisafirishwa kwenda nje ya nchi yataifishwe pamoja na magari.
 
You are blocking zambian trucks......shenzi type.
 
Kwani unaota sgr iko Nairobi na inaendelea hadi naivasha sai
Sitaki uongo hapa hiyo ni Rail inatoka Mombasa nipe Railway Public Transport in Nairobi. Usitake kukimbia. Nioneshe trains zinazosafirisha watu ndani ya Nairobi Okay!?
 
Back
Top Bottom