Hahaha. Rafiki utauwa Malazy kwa pressure.MATAGA nyie mnakuwaga forever in denial. Lakini msiwe na wasiwasi wowote, habari kamili zitawafikia tu ππππ
Kwani Rais wetu hupanda Fokker au Gulfstream na Kuelekea SA toka Dar au Dodoma, unaenda North kabla ya South? Huyu Mkunya katisha!MATAGA nyie mnakuwaga forever in denial. Lakini msiwe na wasiwasi wowote, habari kamili zitawafikia tu ππππ
Dereva wa lori alikufa akiwa safarini hakuuliwa na mtu na kama kuna media ilisema ameuliwa nitagπππMpost na yule aliyemuua dereva wa lori
Manake magufuli anawatesa sana wakenyaMATAGA nyie mnakuwaga forever in denial. Lakini msiwe na wasiwasi wowote, habari kamili zitawafikia tu ππππ
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inamaana hamuna service zingine au umekaririshwa likoni tu π π πHatulipii likoni ni bure, kwhyo hatuhitaji huo upuuzi hku
Magu anajuwa sn kunata na beats, siku c nyingi utasikia kampiga chini kiongozi fulani alafu wala hatozungumzia habari zilizoongelewa kumhusu, hapo ndipo Wakenya na haters wengine wanapochoka na hiki chuma.
Mumekosa official source πππ bado munahangaika na magufuli wengine wamesema ni waziri wa afya lakini habari kamili imekuja ni raila odinga au bado unapinga ππππHata SABC ya Sauzi Afrika inafuatilia kwa karibu mjadala wa Wakenya
View attachment 1721941
Mjadala wa Wakenya kwenye nini, tukisema mnatufuatilia mnakataa yn rais wa TZ mjadala utakuwaje wa Wakenya.Hata SABC ya Sauzi Afrika inafuatilia kwa karibu mjadala wa Wakenya
View attachment 1721941
kesho anafikisha 1mView attachment 1721301