yes 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿we're blessed nation unlike you man eat man failed state[emoji23][emoji23] mbongolala atakuaminisha tanzania ni nchi ya asali na maziwa ila facts zikiwekwa hadharani zinawaumbua vibaya sana.....kwanza hili la magufuli waombe sana isiwe ukweli
Kujitutumua kwenye mitandao mko vizuri ila reality kwenye ground ndio inaongea different,keep on meandering wanawake wanaita kujishebeduaHv mpo serious JPM aende kutibiwa KENYA? Mnajua ni pesa kiasi gani amewekeza kwenye hosp za taifa na wataalam kiasi gani waliosoma tangu aingie madarakani...itakua aibu sana
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Wewe unajua nn kuhusu mambo ya hosp?Kujitutumua kwenye mitandao mko vizuri ila reality kwenye ground ndio inaongea different,keep on meandering wanawake wanaita kujishebedua
Kiswahili yenye watakuandikia, ni shairi na tamthlia tupu, very convincing, siku hizi sitaki Kiswahili yao, ni facts after facts after facts[emoji23][emoji28][emoji28][emoji23], they are used to propaganda, but ni wale with inferiority complex humu, in their forums hawawezi peleka such nonsense, pale kuna open and honest discussions. Unaumbuliwa wazi wazi na facts.[emoji23][emoji23] mbongolala atakuaminisha tanzania ni nchi ya asali na maziwa ila facts zikiwekwa hadharani zinawaumbua vibaya sana.....kwanza hili la magufuli waombe sana isiwe ukweli
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿babyKiswahili yenye watakuandikia, ni shairi na tamthlia tupu, very convincing, siku hizi sitaki Kiswahili yao, ni facts after facts after facts[emoji23][emoji28][emoji28][emoji23], they are used to propaganda, but ni wale with inferiority complex humu, in their forums hawawezi peleka such nonsense, pale kuna open and honest discussions. Unaumbuliwa wazi wazi na facts.
Kiongozi gani wa Tz akigonjeka Hua Kenya?Your propagandas are being undone kila uchao[emoji23][emoji23][emoji23] hakuna leader wa Africa amekimbilia Tanzania kimatibabu, ni shabiki zenu za kitoto tu[emoji23][emoji23], na propaganda kutoka kwa CCM kuwapumbaza tu, wakigonjeka wanakimbilia Kenya leaving the poor you behind in those hospitali uchwara, muonekano inawadanganyia[emoji23][emoji23] hospitali sio majengo tu mkuu.[emoji23][emoji28]
Acha uongo, nilipigwa ban Ktalk.Kiswahili yenye watakuandikia, ni shairi na tamthlia tupu, very convincing, siku hizi sitaki Kiswahili yao, ni facts after facts after facts[emoji23][emoji28][emoji28][emoji23], they are used to propaganda, but ni wale with inferiority complex humu, in their forums hawawezi peleka such nonsense, pale kuna open and honest discussions. Unaumbuliwa wazi wazi na facts.
FoolIt is sad that this guy denied the existence of covid but as soon as he contracted the virus he flies to Nairobi for treatment. Meanwhile ordinary Tanzanians are left feeling the full wrath of the virus, without formal treatment or vaccines.
Another foolMagufuli in Nairobi Hospital. We can now do what we want with him. Kenya imeweka Tanzania kwa makwapa[emoji83][emoji83]View attachment 1721505
Kuna wapumbavu wanaamini Magu kaenda kutibiwa nairobi
Na jinsi majirani wanavopenda sifa mapicha yangekuwa yamesha leak zamani Sana 🙂Kuna wapumbavu wanaamini Magu kaenda kutibiwa nairobi
Hata kama angekua anaumwa kwa huduma hizi ambazo ni impossible kuwepo Kenya ni vigumu sana na haitotokea akatibiwa Kenya
Wapi wamesema magufuli yupo nairobi kwa matibabu 🤣🤣🤣🤣🤣 aisee nimeamini magufuli anawanyima usingiziMagufuli amekimbilia Nairobi kutafuta matibabu ya kovidi. Kwani huko Tanganyika hakuna mahospitali na yanayoweza kutibu kovidi ? Wanasisiemu wote walioko kwenye huu uzi, ebu mwombeeni meko apate kupona 😂😂
Jipeni moyo na matumaini mengi 🤣🤣🤣Hope it ain't true!
🤣🤣🤣🤣🤣 munajipa moyo namna hioYuko huko raila went to visit him
Wacha wajipe matumaini kwenye hakuna 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Magufuli hawezi kupelekwa Nairobi kutibiwa, hii ni chai.
Nioneshe hostel za kenyatta university hapa nicheke kwa sauti kubwa 🤣🤣🤣🤣🤣Hzo no hostel za UDSM?