Hii ni khatari Sana Bora tumpotezee asije akatuaribia na sisi hii thread 🙂Alifungua nyuzi mbili mod wakazifuta sasa ameona aje kupost humu ili tuone upumbavu wake na upumbavu wa hao wanao zusha.
Yaani ni mpumbavu sijapata ona.
Ona ushuzi huku hawa watu wanaroho za kishetani yani utasema wamelaaniwaWe subiri kituko🤣🤣🤣🤣mchina anakunya kwenye site alafu waje wazoe🤣🤣🤣
Inaonesha ni jinsi gani wanamuogopa JPM.Hii ni khatari Sana Bora tumpotezee asije akatuaribia na sisi hii thread [emoji846]
Na hasa wanapoumia pale kwann magufuli hakufunga nchi na wao wakafunga nchi sasa leo wanajiona kua wamekosea na niwajinga wa mwisho 😄😄😄😄😄Kila kilichopo Tanzania wanakionea wivu,hii issue ya utalii inawauma vibaya mno nyang'au
Jamaa wana wivu wa kijinga sana,na magu atawanyoosha kweli kweliNa hasa wanapoumia pale kwann magufuli hakufunga nchi na wao wakafunga nchi sasa leo wanajiona kua wamekosea na niwajinga wa mwisho 😄😄😄😄😄
Duuuuh alafu gharama za matibabu kwa wenzetu mbona huwa juu kiasi hicho 😟😟😟😟😟maskini😔😔Ona ushuzi huku hawa watu wanaroho za kishetani yani utasema wamelaaniwa
Rwanda pia wako vizuri. Ghana ukitoa Accra kwingine ushuzi, Kumasi ni kubwa but imekaa kienyeji kweli.Thats good maana hata hapa EA sanasana ni KE na TZ kwa Afrika nchi inayo nitisha ni SA na hao arabs ila hao western A wakipatikana members tunafungua battle
Mwanzoni nilipokuwa namuona huyu panzi mitandaoni nilifikiri ni wa kuchorwa 🙂
Mie nlishangaa Sana jamaa kwa ground wanamfagilia Sana magu na utendaji wake wa kazi kiufupi media nyingi za Kenya lazima wamtaje magu🙄🙄Inaonesha ni jinsi gani wanamuogopa JPM.
Maana ingekuwa hawamuogopi wala usinge waona wakimtaja taja ovyo na kumzushia zushia.
Siku hizi ili page yako ipate followers inakubidi upost news za Tz [emoji23][emoji23][emoji23]Mie nlishangaa Sana jamaa kwa ground wanamfagilia Sana magu na utendaji wake wa kazi kiufupi media nyingi za Kenya lazima wamtaje magu[emoji849][emoji849]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Siku hizi ili page yako ipate followers inakubidi upost news za Tz [emoji23][emoji23][emoji23]
Magufuli has coronaView attachment 1721319
Duh! Sisemi kitu.