Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Safaricom Home Fibre is now in the proximity of 53,000 homes - HapaKenya

Safaricom has announced that it has laid its home fibre in the proximity of 53,000 homes. The telco shared the news at the FY 2017 financial results announcement.

Safaricom laid over 4,000 KM of fibre in the last financial year which shows their seriousness in the sector.

The internet service is being rolled out through third party companies like Masaba Services who connect customers on Safaricom’s behalf. They are recruiting resellers, according to advertisement in today’s paper, which should further push uptake.

The areas that it is available include: Langata, Mlolongo, Kinoo, Muthiga, Kiambu Road, Kileleshewa and some parts of Thika Road and Mombasa. New areas are being connected every week.

Safaricom Home Fibre 4 products, namely:

  • 5 Mbps – Ksh. 2,500
  • 10 Mbps – Ksh. 3,499
  • 20 Mbps – Ksh. 4,999
  • 40 Mbps – Ksh. 9,999
Safaricom’s main competitor in the fibre to the home is Zuku which has a very popular triple-play product that combines internet, telephone and TV. It is rumoured that Safaricom might launch a new version of the Safaricom Big Box, with streaming support, which would help it in its quest to gain market share.

A earlier version of this article mentioned that Safaricom Home Fibre has 50,000 customers which is incorrect. Safaricomhas yet to share customer numbers for this product.
 
Telkom Kenya to roll out incubation hubs in the 290 constituencies
 
Hii hapa ya TZ. Na ujue TZ ndio hub ya East and Central Africa
052_5283_01_b.jpg
Your data is uncooked compare to the Kenyan map ile inaonyesha hadi the company yenye imeweka hiyo fibre, hii yenu might as well be a planning map. All counties hq in Kenya are connected to fibre network and it has been confirmed.
 
Final Touches on Kasarani Stadium ahead of the IAAF World Under 18 Championship. 135 Countries attending
DEDZzCKXYAI0_A0.jpg

DD9LRjtXgAA958Q.jpg

DD9LPvMXcAAHIS3.jpg

DD9LMBMXkAEBQNn.jpg
 
Taxi Chap Chap – Yet Another Kenyan Cab Hailing Service

taxi-chap-chap.jpg
 
Safaricom to Launch a Music Streaming Platform
Yes our very own version of tidle coming soon.

Safaricom-live.png
 
Your data is uncooked compare to the Kenyan map ile inaonyesha hadi the company yenye imeweka hiyo fibre, hii yenu might as well be a planning map. All counties hq in Kenya are connected to fibre network and it has been confirmed.
Acha kulia lia kama mtoto wewe. Mbona unalia sana ndugu.
Tunaendelea taratibu

WATANZANIA KUNUFAIKA NA GESI ASILI
Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limesema mpaka kufikia mwaka 2020 litawawezesha watanzania kutumia gesi majumbani mwao hivyo kupelekea upungufu wa uharibifu wa mazingira nchini.

Kaimu Mkurugenzi wa TPDC Eng. Kapuulya Musomba amesema muda mrefu kumekuwa na uharibifu wa mazingira hivyo kupatikana kwa nishati ya mafuta na gesi kutaiwezesha Tanzania kuwa mahali salama kimazingira ikiwa ni pamoja na ukuaji wa sekta ya uchumi.

Alisema katika robo ya pili ya mwaka 2017 shirika limekamilisha usambazaji wa mabomba ya gesi kwa matumizi ya majumbani jijini Dar es Salaam na zaidi ya viwanda 300 vimeunganishwa na nishati ya gesi hapa nchini hivyo kupelekea upatikanaji wa umeme wa uhakika.

Kuhusu upangaji wa Bei kwa matumizi ya gesi itakayosambazwa majumbani Eng. Musomba amesema Taasisi yake itashirikiana na Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), kuhakikisha nishati hiyo inapatikana kwa urahisi na kwa bei nafuu.

Hivi sasa zaidi ya asilimia 50 ya umeme uliopo katika Gridi ya Taifa unatokana na gesi asilia hivyo mipango ya Serikali ni kulifanya Shirika hilo kuchangia zaidi mapato Serikalini yanayotokana na rasilimali hiyo.Alisema Eng. Musomba

Alisema TPDC imejipanga kuwekeza kwenye shughuli za utafutaji, uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa gesi ili Taifa linufaike na rasilimali hiyo.

Akitolea mfano mradi mkubwa wa kusindika gesi asilia (Liqufied Natural Gas-LNG), Eng. Musomba alifafanua kwamba itachukua takribani miaka 8 hadi 10 kabla ya mzigo wa kwanza wa LNG kusafirishwa kwenda katika soko la dunia kwa mauzo.

Alisema kukamilika kwa mradi wa (Liqufied Naturla Gas- LNG)utakuwa ni fursa kwa watanzania kupata ajira katika mradi huo ikiwa ni pamoja na kuchangia pato la mwananchi,wawekezaji na Taifa kwa ujumla.

Alisema uwekezaji katika sekta ya mafuta na gesi ni wa gharama kubwa na hata mafaniko kwa maana ya mapato makubwa kwa Serikali huchukua muda mrefu kuonekana hivyo amewataka wananchi kuwa wazalendo kwa kuilinda miundombinu inayopita maeneo yao.

TPDC inaendelea kutoa elimu kwa wadau mbalimbali ikiwa na lengo la kuongeza uelewa zaidi katika sekta hiyo ya gesi na mafuta.

WATANZANIA KUNUFAIKA NA GESI ASILI - Full Shangwe Blog
 
hahahhahahha tecnology imekushinda. Nilikuambia hapa utaona moto.
 
Telkom Kenya is Gifting Subscribers with 1GB/Day of 4GFORFREE Data and Free WhatsApp

How much hiyo 1GB/Day. Wewe huoni hapo TTCL 2GB/Day kwa TZS 2000 ambayo ni sawa na USD 0.89 Mbona unajichoma mwenyewe. Unatakiwa ukubali Kenya bei ni juu sana.
 
hahahhahahha tecnology imekushinda. Nilikuambia hapa utaona moto.
Mimi nataka kimoja baada ya kingine kwenye cost ya Data Bundle kubali kenya ni expensive. La sivyo utaonekana mjinga hapa.
Twende one step after another.
 
Kenyan shopkeepers to receive free Tanda One smartphones
Tanda-One.jpg
 
How much hiyo 1GB/Day. Wewe huoni hapo TTCL 2GB/Day kwa TZS 2000 ambayo ni sawa na USD 0.89 Mbona unajichoma mwenyewe. Unatakiwa ukubali Kenya bei ni juu sana.
hujui kusoma, si imeandikwa hapo ni bure.
 
Back
Top Bottom