Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Atakuscreenshot akurushe kwenye majukwaa sijui ya wapi, maana wale wanaopondea Tz huwa anascreenshot anaturushia hapa.
 
Wakenya bana huyu jamaa amewatesa sana yani amewanyima usingizi miaka sasa[emoji16][emoji16] manake munamfatilia kuliko kenyatta hebu niletee official source kua magufuli ni mgonjwa na anaumwa corona ukipata nitag mm

huyo ndo King/Kiranja of East Africa, lazima wamfuatilie
 
Kule youtube kuna mamia ya watalii wanapost mavideo wakila bata zanzibar,kwenye comment uwa wanawaonea huruma sana wakunya,uwa wanawaita waende na kwao kunyaland πŸ˜†
 
Nyinyi mmekua nyuma sana ndio mnajenga vi flyover na highway ya maana, plus ka brt.., we just look vile mnapata orgasms na vitu vya kawaida and by the way it is in Dar only[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]., Tz Tz Tz[emoji23][emoji23],
Usituweke kwenye kapu moja,mataga ndio mambumbumbu yanapatwa na orgasms na vitu vya kijinga.

Ukienda Bamako Mali kuna intachenji kali long time ago na ni nchi ya jangwa na migogoro lakini huwezi sikia makelele ya majinga ya ccm
 
Kule youtube kuna mamia ya watalii wanapost mavideo wakila zanzibar,kwenye comment uwa wanawaonea huruma sana wakunya,uwa wanawaita waende na kwao kunyaland πŸ˜†
Yani hawa wakenya wanaroho mbaya sana na wao huhisi tanzania ndio mhasimu wao mkubwa yani ni wajinga sana hawa jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…