Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,199
- 107,799
Mchina huyuhuyu CCECC amejenga Ubungo interchange? 👇 🤷♂️Yes it's Financed by Gov of Japan and Partly by GoKView attachment 1719269View attachment 1719270View attachment 1719271View attachment 1719272View attachment 1719273View attachment 1719274View attachment 1719275View attachment 1719276View attachment 1719277View attachment 1719278View attachment 1719279
Ikifika mwezi wa saba hamja surrender narudi kua msomaji sichangii tena . Natamani serikali wasiwajibu wala nini kwa kua njaa haina bouncer wenyewe mtalegeaMlikuwa mnatamba kwamba mnatulisha. Wapuuzi nyie. Nimefurahi mahindi yenu yamezuiwa ndio mjuwe kwamba hatuwahitaji na hamtulishi. Tunajilisha kwa pesa zetu. Huo wimbo wenu wa "mnatulisha" utakoma. Leo ni siku njema.
usipige kelele, ngoja majibu ya JPM naskia kuna mkakati wa kuzuia bidhaa zote za BIDCO na Brookside kuingia Tanzania! Sisi tuna maghala 10 mapya yanayoweza kuhifadhi mahindi yetu!Mlikuwa mnatamba kwamba mnatulisha. Wapuuzi nyie. Nimefurahi mahindi yenu yamezuiwa ndio mjuwe kwamba hatuwahitaji na hamtulishi. Tunajilisha kwa pesa zetu. Huo wimbo wenu wa "mnatulisha" utakoma. Leo ni siku njema.
Nairobi vs Dar es Salaam, ndiyo hoja iliyoko mezani, hiyo issue ya mahindi inahusikaje hapa?!Mlikuwa mnatamba kwamba mnatulisha. Wapuuzi nyie. Nimefurahi mahindi yenu yamezuiwa ndio mjuwe kwamba hatuwahitaji na hamtulishi. Tunajilisha kwa pesa zetu. Huo wimbo wenu wa "mnatulisha" utakoma. Leo ni siku njema.
Kuna jengo ambalo lilijengwa temporarily kwaajili ya ofisi za raisiKwani Ikulu ya Dodoma haijakamilika? Ni jengo nzuri sana ila nilidhani Magufuli tayari anaishi Dodoma, kwani anaishi kwenye jengo gani huko Dodoma?
Kumbe huyu jamaa Yosef Festo huwa ni hana akili 😂😂. Pole sana bro....God and religion are two different things...
Haohao ndio wajenzi wa hiyo miradi mitatuWhat if ni vifaa vya ElSewedy au Arab constructor? Una proof kuwa ni vya serikali zaidi ya hii clip?
Initially the chinise were doing top level constructions. Unfortunately, they are dropping the ball. They are currently doing our Ngong Road phase 3, my Godness it looks terrible for a new road. The only reliable company is CRBCMchina huyuhuyu CCECC amejenga Ubungo interchange? 👇 🤷♂️
Nina wasiwasi kama ni ccecc hiyohiyo...!
Sasa na wewe unabishana na uhalisia, endelea kubishaSasa unabishana hadi na principle za biashara. Mi sina la zaidi kukuelewesha endelea kubisha
I think KENHA needs to up their game and do a thorough inspection! BRT phase II in Dar the Chinese contractor has been asked to redo all the sections that were poorly done! The company might not get any contract in the future! 👇Initially the chinise were doing top level constructions. Unfortunately, they are dropping the ball. They are currently doing our Ngong Road phase 3, my Godness it looks terrible for a new road. The only reliable company is CRBC
Mambo mengine achaneni nayo, nendeni mkaelimishane kando hkoWhere do you get that name "God"
Hakuna cha sumu hapo Bali wakulima wa Kenya mahindi yao hayauziki yakipambanishwa na ya Ug,na Tz,Ila wanataka ya ndani yauzike sasa wasitumie ujanja wa sumu kuvu[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakenya kwa sasa hawana sera wameishiwa kilichobaki ni kutapa tapa,,,
miaka yote hiyo mlikuwa mnangojea nini,mpaka leo hii ndiyo mseme kuwa mahindi yana sumu[emoji23][emoji1787][emoji1787]
kwisha habari yenuView attachment 1718268
Hahahah!!jomba utawafanya wakuchukie hawa majamaa[emoji1787][emoji1787]
kwani mradi wa Dodoma stadium ushapewa Mkandarasi?Haohao ndio wajenzi wa hiyo miradi mitatu
imekuwaje unamsifu ghafla? si ulikuwa unampinga humu?Magu Magu Magu. Huyu jamaa ni kiboko. Eti pesa za Dam zilizobaki zijenge barabara. Noma.