Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waishie pabaya mara ngapi?
 
Ni kweli mkuu. Hiyo ni dhana potofu sana tunalishwa na wazee wa poverty line. Mimi nimekulia kijijini. Kule ni mayai, maziwa, mboga mboga, magimbi, viazi, na vitu kibao. Vyote hivyo vilikuwa supplied na familia yenyewe. Hivyo tunapiga mlo kamili bila kuulipia.

Nakumbuka marehemu bibi alikuwa genius! Shamba la mahindi ndilo lilikuwa zizi baada ya mavuno. Kila siku mbili tatu linahamishwa humohumo ndani ya shamba. Mpaka msimu wa kulima ufike, shamba zima lina samadi hivyo no cost of mbolea na utapata mazao yenye sumu sifuri.

Kulima ilikuwa ni ng'ombe wanalima. Usafiri pia walishughulikia wenyewe. Matumizi mengine ilikuwa kidogo tu kwenye chunvi, madaftari na nguo kwa mfano.

Sasa familia kama hii utaambiwa ni masikini kwa kuwa inatumia sijui chini ya dola moja kwa siku!

Wakati huo huo kuna familia ya wazungu pale London kila kitu inanunua lakini havina ubora kama vya kwetu. Mayai ya kisasa, maziwa ya kisasa, mboga mboga zimejaa mbolea, tv unalipia service charge (hii huwa hawaisemi, wanaona aibu).

Sasa hapo utakuta hiyo familia ya London kwa siku imetumia dola 300 na bado haijapata mlo kamili. Wakati hii ya huku kwetu imetumia chini ya dola 1 na imekula mlo kamili.

Kuna picha ya mfano nimeikosa hapa. Ilikuwa inaonesha bei ya kilo moja ya bamia kwenye soko la Westminster, London £9 na point. Wakati huo (December 2020) kiasi kama hicho huku kwetu unapata kwa chini ya shilingi elfu tatu.
 
haha sauna sister alkua ananiadisia sana akiwa Ukraine 2014-2020 hivyo kweli nkama kujifkiza tuu

wakenya ni wakuhurimiwa trust me.
walichobaki nacho ni kufollow western culture na kizungu kingi, they're desperate hawajui washike wapi.
wewe umeona wapi nchi kila uchao media zinahangaika na jirani, sio mziki sio hali ya maisha yaan tafran aafu kibongo bongo hatuwawazi,.
ndo maana wamejaliwa sura mbaya kama roho zao nkt!!
 
Dah! mnatumia mbinu nzuri sana, sisi kwetu hua tunazoa mbolea kwenye zizi then inaburuzwa hadi shambani na kutandazwa, nyingine kwenye migomba na kahawa.
Magu anavyosema sisi ni matajiri watu hawapaswi kumng'ong'a hata kidogo maana huo ndio ukweli, Wanachoignore hawa mabeberu kweye kutukadria ni kutocalculate gharama ya vitu tunavyotumia kutoka shambani. Hiyo dawa ya kikohozi yenyewe tunaichuma kwenye mti na inaponya kikohozi ndani ya siku mbii, calculations zao hazina uhalisia
 
Ngoja nikuongezee defining factor nyingine we genius.

Wazungu baada ya kuona maisha yao (na ya kwenu nyie vibaraka wao) yamepoteza uhalisia wakawaletea kigezo kingine cha kupima ubora wa maisha.

Kinaitwa Gross National Happiness na kinayo hadi per-person happiness. Vigezo kama hivyo vinawekwa kwa ajili ya Robots na Gadgets ambazo hazijitegemei kifikra.

Next time usifananishe Tz na hizo Sub Saharan country zingine. Unafananisha nchi yenye akiba ya zaidi ya 3 million tonnes kwa mahindi pekee, acha nafaka zingine, na nchi zenye njaa kama hiyo ya kwenu. Nigeria is another failed state, just like yours.

Ukitaka kunielewa angalia namna tulivyodeal na al shabaab kule Amboni, Tanga. Angalia namna tunavyodeal na hao wapuuzi wanaomendea ukanda wetu wa gesi. Halafu rudi uangalie namna nyinyi mnavyoendeshwa na hao wanamgambo wasiweza hata kuvaa mabuti. Kisha malizia na namna wachovu wenzenu walivyowalea boko haram.

Tz tulivyolala kidogo kwa two decades ndiyo mkajisahau makaanza kuona kama sisi ni wenzenu saana.
 
Ona tena [emoji23][emoji23][emoji23], the forces of demand and supply determines prices, soko huru, elewa economics wacha kujifanya mkarimu, Kenya ain't a wicked socialist country, we are a capitalist state and prevailing market prices as a result of supply/demand determines bei ya kuuza, supply ikiwa mingi bei inashuka, na pia cost of production kwa wa kulima matters, uwezi kuuza bei ambayo itakupeleka hasara, na ukinunua mahindi nje kisha uje uuze bei ya chini sana utakua unaharibu soko na kukandamiza wakulima, in the same principle serikali za Africa zimeanza kubana bidhaa za wachina ili kuokoa viwanda vya ndani, sasa wewe na hizi fikra zako uchwara utaenda China ama Brazil kwa mfano, Kisha ukanunua sukari kwa bei ya chini, kilo unaeza pata na kshs30(Tshs600) buying in bulk, Kisha uje uuze bei ya chini, like kshs50(Tshs1000) kwa kilo! which is below the market price ya nchi, hapo utakua unaua wana biashara wa sukari nchini na kufilisisha sugar factories!! get exposure, this is the business Dynamics of the world, fikra zako hazina maana kwa ulimwengu wa sasa, ni wa kijamii tu. Umasikini 'wholistically' is a curse, totally limited even to reason tu, sad[emoji22].
Naelewa sasa ni kwanini Tanzania ni nchi maskini ya kutupwa, it is a software problem, sio ardhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…