Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Si ni wewe uliyesema kwamba Magu alitumia mbinu nzuri sana kutangaza covid haipo na ndiyo maana watalii wanamiminika au sio wewe nikuletee evidence [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ni kweli huo uongo kwamba TZ haina corona ilifanya kazi nzuri kiuchumi kwani mlipata watalii wengi hususan Warusi ambao hawajali mambo ya corona ila negative effects ya policy hio imeanza kuonekana pale ambapo Watanzania wameanza kufa kwa wingi.
 
hujui kuchanganua mambo ,hujui kuchanganua kauli kiundani...

ungekuwa hakimu ungekuwa ni miongoni mwa mahakimu wapuuzi sana kwenye huu ukanda kwani ungekuwa ukiletewa kesi ya mtu aliyeitwa mwizi ungekuwa unapiga nyundo nakutoa hukumu papo hapo pasipo kusikiliza ushahidi wowote na kuuchanganua kiundani angali unajua kabisa kuwa si kila kesi inaukweli kuna wanaosingiziwa tu ilimladi..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni kweli huo uongo kwamba TZ haina corona ilifanya kazi nzuri kiuchumi kwani mlipata watalii wengi hususan Warusi ambao hawajali mambo ya corona ila negative effects ya policy hio imeanza kuonekana pale ambapo Watanzania wameanza kufa kwa wingi.
Hahahahaaaaa ni kweli corona ipo kwa ss ila ndio imeshapotezewa na inaondoka hiyoo, unajua Magu ana maono mapana sn km angetilia mkazo basi huu ugonjwa ungesumbua sn km kwenu unavyokula vichwa vya Wakenya, na ndiyo maana unaona Magu ni km amewakataza wateuliwa wake kuvaa mask cz wapo vitani so ni lazima waji sacrifice kama unavyoona wanajeshi vitani na sio wewe kiongozi unayepaswa kuwatoa hofu wananchi ndio unaongoza kuvaa barakoa kuubwaaa, simple and clear hakuna kiongozi aliye chini ya mamlaka ya Magu ataruhusiwa kuvaa barakoa na km hataki aandike barua ya kujiuzulu, ivyo yani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nilikuwa namheshimu sana huyu Tundu Lissu. Kama ni kweli kwamba yeye ni shoga nitamdharau sana.
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
 
Nyinyi ndio nchi pekee duniani inayokataza wafanyikazi wa serikali kuvaa mask. Hakuna nchi nyingine inayofanya ujinga kama huo.
 
Kwa hivyo nyinyi ndio mnajua zaidi kushinda dunia nzima? Mask inazuia corona kwa kiasi fulani
mi mbona sijawahi kutumia mask wala santizer lakini nadunda hakuna cha corono kuninyemelea wala kunipata....
na mtaa ninaoishi hakuna raia yeyote aliyewahi kuumwa corona wala kufa....

unaonaje hili limekaaje kwako...?
 
He is wise than your drunkard president anaangalia maslahi ya Mtanzania🙂
Sio mbinafsi,soon Tanzania itakua power house and the best economy in Africa mtanyooka tu🙂
 
achana na huyo mataga mlamba ass ya Jiwe hana akili anasubilia kufukiwa tuu ila ana dead soul na blind mind
 
He is wise than your drunkard president anaangalia maslahi ya Mtanzania[emoji846]
Sio mbinafsi,soon Tanzania itakua power house and the best economy in Africa mtanyooka tu[emoji846]
Kwa mkondo wa capitalism mlio chukua, and with the bigger populace having weak mental frame hawawezi kufikiria zaidi ya pua [emoji23][emoji28][emoji28], it is a recipe' for extreme poverty numbers, as economy grows, the more poor people will suffer, unless software ndani ya vichwa vyenyu vibadilishwe, ata mkijenga SGR mia, na flyovers elfu, na vigorofa, bado haitakomboa mtanzania wa kawaida, ni wajanja tu wataomoka, na kuwafanya wanyonge kama wewe vijakazi na malipo duni[emoji23][emoji23][emoji23]. Capitalism ni ya mwenye nguvu, mvivu na hafifu(the middle name of most Tanzanians) hana lake hapa., the reason licha ya kukua kwa uchumi wenu, in 2020 report from data ya 2019/2020 world bank, umasikini wa kutupwa uliongezeka, mkaipiku Ethiopia walio beba huo ubingwa kwa miaka mingi. Think seriously, and reason, wacha ushabiki...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…