Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hiyo muache ujinga wenu wa kumsingizia kwamba alikataza Barakoa. Kweli Corona ilikwisha Tanzania baada ya " first wave of infections, sasa hivi hili ni "second wave" soon we are going to defeat it like we defeated the first wave, Tanzania sio failed state

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Ona huyu ghasia[emoji1787][emoji1787]
 
wakenya muache wizi [emoji3][emoji3][emoji3] dah hizi nyumba zipo kigamboni gezaulole huyu mtu komora096 anasema nyumba za kuishi watu wakawaida kenya [emoji3][emoji3]View attachment 1715914
Enheee!!ilikua wasemaje mzee baba, zote nilizopost umeona hzo tu sio[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Kweli mumeshachanganyikiwa, enhee nambie na zile zingine ni za wapi kw sababu hata hzo zilikua zimepachikwa kw majina ya affordable housing kw google search engine kimakosa
 


Wanazengo 2010 bitcoin ilikuwa $0.08 leo inacheza kwenye $50K 🙂. Kama ulichelewa kuingia kununua bitcoin usijali, Dogecoin ni crypto inayocheza kwenye $0.05 (Tsh 115). Elon Musk alishaiongelea hivi karibuni, italipuka muda si mrefu.

Mwenye masikio na asikie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…