Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwa sipendi kuonyesha Vitu vyangu ila kwa kuwa mmetaka nawaonyesha, siku nyingine mkitaka niwaonyeshe hata ukucha wangu hamtakaa kupata kuuona

By BWANA MAPESA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].




 
Tengeneza basi yako ukasambazie watanzania wenzako. Hapo utakuwa umeharasisha mambo
 
Nilikuwa na picha km hizi ila nilizifuta, ss bwn mapesa alivyoweka mapesa yake nikatamani nami ningeweka yangu, ila mkuu umenchekesha sn wallahi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mi huwa naenda kubeba mzigo wa ofisi wa maana , Ila leo wakati bado sijazidumbukiza kuwapa Security wazipeleke , nikakumbuka mipesa juu ya meza ya MAPESA nikaamua na mimi ni snap kipicha.
 
Oyaa nimecheka sana wakuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila mkuu huu mzigo inawezakana ikawa wako mana hata ukiutafuta mtandaoni huupati.

Ila nyie BWANA MAPESA kiboko kwamba siku nyingine hatoonesha hata ukucha wake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
"Am acting sloppy Kwenye mambo serious Kama corona?!" 😂 😂. Wow! The pot calling the kettle black. Between Kenya and Tanzania which country acted floppy in matters corona? Ni nchi gani iliaminisha wananchi wake kwamba corona haipo? If that's not being floppy then I don't know what floppy mean.

About mask production, if you have the capacity to produce that much in a day, then why is your government still asking people to make their own masks at home? This is the million dollar question that you guys are avoiding. I am not saying that you ain't producing masks. My question is: why ask people to make their own at home? Am saying this because at some point one of you said that Magu has issues na barakoa za kutoka nje ya nchi ndio mana aliagiza watu wajitengenezee. But it appears you have the capacity to produce your own but still ask people to make them at home. How now??

You can't be talking about fake masks being impounded in USA while your own president is encouraging the use of the same fake masks. Am saying fake because barakoa ya kujitengenezea haijakuwa certified to meet the required standards and specifications. That's double standards.

And just to remind you, masks tunazotumia tunajitengeneza hapa Kenya, hazitoki nje ya nchi.

My Take : Stop talking about being brainwashed or anything. Kila kitu unachotumia, including the phone/computer you used to type your response ni technology ya mzungu. Are you also brainwashed?
 
Magu aliwaambia kwamba "corona haipo Tanzania." Sasa mngeendelea kuvaa mask ya nini? Msemo wake kwamba corona haipo meant the end of face mask wearing, just like it did other measures.

Ni juzi tu aliwaambia muanze kuvaa mask baada ya kirusi kuwashika sehemu nyeti 😂 na kufululiza hadi ikulu kule Zanzibar.

Hayo mambo ya chanjo sijayaongelea mie
 
Mbn una argue kichizi hivi? Km tuna factory ndo iweze kutosheleza mahitaji yote?
Watanzania hawakuwa wanavaa barakoa until a few days ago ambapo mkulu alisema muanze kuzitumia. Kulingana na maneno yenu wenyewe, you said that you have the capacity to produce up to a million masks a day and I believe this is something that has been ongoing. At this rate, itakuwaje kuwe na short supply wakati demand ilikuwa chini while production was still standing at a million pieces a day? Unatuona sisi wajinga sana?
 
hizo bado ni principle za wahaba wa imani.

nikuulize swali,wakati Yesu anatembea juu ya maji alitumia nini ili asizame!!!kwanini petro alipojaribu alipiga mbili kisha akazama???

sikia nikwambie wewe mwenye imani duni(maana hata si haba),imani ni zaidi ya upeo wa kawaida wa kufikiri,ni nje kabisa ya principle za kimwili,ndio maana YESU alikaa siku 40 bila kula,ukifanya kwa kuamini kwa jina la Mungu kwamba si lazima ule ili uishi utapitiliza hata hizo siku 40.

unakwenda kanisani kusali maisha yako yakae sawa,kisha unajituma kazini,unadhani tofauti yako na anayefanya kazi kwa bidii bila kusali ni ipi kama sio kakuzidi kujiamini wewe mwoga!!!!
 

Hahahaha, Picha ni yangu ila Hela sio zangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…