Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Which battle is next ....Hahaha. No hard feelings neighbours. ...one Love
 
Mbona kama mapori yamejaa , au ndo ma bwanyenye yameshika ardhi hayataki kuendeleza mnayaangalia tu
emoji15.png
emoji15.png
emoji15.png
emoji15.png
hahahaha wewe umejaa ushamba, kwelikweli. That's why Nairobi huitwa green city under the sun. we value our trees.
 
hahahaha wewe umejaa ushamba, kwelikweli. That's why Nairobi huitwa green city under the sun. we value our trees.
Acha uongo una value tree , sema kweli watu wameshika maeneo na hawajaendeleza jiji kama kijiji Nairobi ni big village sio city
 
bongo........ biggest city in east and central africa😀😀😀😀😀😀
halina mjadala au kipingamizi
 
Malls
Highways
Towers
Railway
Tourism
International companies
Etc
towers toa kwenye akili yako, railway tungekua hatujengi ingekua sawa ,tourism tushawachapa fimbo ipasavyo
mlichotuacha ni highways thats all na hio mukae mkao wa kula very soon mutaona habari yake
 
towers toa kwenye akili yako, railway tungekua hatujengi ingekua sawa ,tourism tushawachapa fimbo ipasavyo
mlichotuacha ni highways thats all na hio mukae mkao wa kula very soon mutaona habari yake
Tower mbili????(the highest in Africa is coming)
Tourism ni Serengeti,Kilimanjaro na Zanzibar dar tourism at a nusu haifiki Nairobi.
Airport tumewanyorosha
ICT bado mko chini sana
Embassies tuko na over 70
Multinationals over 100
Malls hapo sisemi kitu ata Kampala imewanyorosha
8a1c2daf98f0630e13316ceb82e75496.jpg
 
ongea kama mtoto wakiume tower mbili mungekimbia over 20 floors, tourism hio sahau my friend na hairudi tena
airport gani umenyoosha lini na wapi???? ICT ndio usizungumze kabisaa, kususu malls tafuta link ya 2017 ndio utafahamu vzr
 
Back
Top Bottom