Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mjini
a09055f46ff9df10a51be33d38d41568.jpg
791bd8c415e4b05de264ca17b3add509.jpg
9a4408ed81a89fa8c1b5236a918acc5b.jpg
c00e10b7dac044bbee4cf2b36b17de74.jpg
f84792714ffca9a8ef9edf9d84933560.jpg
9a79929caea8e74de21282116245746f.jpg
383d4d138a6e0c49851631119b30df46.jpg
f73acfae10e768b2e91a72be70450315.jpg
4648643fbaecb0e0b24ba53b3f041710.jpg
 
Mnatakiwa mkubali bana siyo kuleta ubishi na kujiona mko juu.
Majengo yenu ya glass ni ya kawaida sana. Niliwataka mlete matano ambayo ni most beautiful in Nairobi yenye glass.
Nimewawekea beautiful in dar naomba uweze compare.
Nimekuwekea TPA tower. Niletee jengo la Nairobi linaloweza shindana na hilo.
Baada ya hapo nimekuwekea
Twin towers PSPF, leta buildings zinazoweza kushindana na hayo majengo.
Nimekuwekea LAPF Tower leta jengo la glass la kushindana la hilo.

Plz fanya hivyo ili Battle iwe tamu.
 
Kama huna buildings zakushindana na TPA, PSPF, LAPF unatakiwa ukubali ili twende kwenye majengo ya kawaida, ambapo Dar yapo mengi sana. Tuanze kuhesabu one after another.
Hapa tunataka kuona the truth siyo mbwembwe.
Na kwakuongeza usiweke picha tofauti na za Nairobi kwakuwa sisi tunaweka za Dar pekee.

Sasa naomba ujibu twende sawa kwa utaratibu.
 
Kicks of a dying horse. Excuse after excuse, tafuta tool ya kumeasure beauty kisha urudi. Jana ulipinga na ukasema kwa kiburi sana Dar has MANY
glass buildings kuiliko Nairobi leo umeleta wimbo ingine tena. Si ni wewew ulisema unaanza kuhesabu, na ety Nairobi ni ndogo utaimaliza na upanga cbd pekee. Haya maliza basi na uwache kulialia kama mtoto.
 
Hapa anyelia ni wewe. Nimekueleza weka buildings toka Nairobi za kushinda hizi hapa tatu toka Dar:-
12237182_428772247311906_50413239_n.jpg

Nilikueleza tunataka buildings tano. Kama unataka wingi nipotayari.
Na nitahitaji caption ya kila jengo sawa?
 
ushapewa zaidi ya tano unataka nini tena?
 
ushapewa zaidi ya tano unataka nini tena?
Hayo majengo ni ugly. Nimekuuliza those buildings are most beautiful in Nairobi? Jibu ndio au hapana.
Kama hapana nataka the best glass building from nairobi which can beat LDC glass buildings
 
Back
Top Bottom