Mko Moo malls ngapi nairobi...total number ?nmetii Kwa mallsDar bado ni upcoming hata IMAX bado hijafika huko. Wakue wapole watafika tu the level of the greats.
Mko Moo malls ngapi nairobi...total number ?nmetii Kwa malls
Nairobi and it's environs it's almost 50 malls or more.Mko Moo malls ngapi nairobi...total number ?nmetii Kwa malls
Sasa sio kwa vile nmetii ndio unidanganyeNairobi and it's environs it's almost 50 malls or more.
kwanza are u circumcised au maana nisije kukuitia alaf kumbe una govi😀😀😀😀😀😀😀Niitie Aganza
Sikudanganyi au unataka tucount.Sasa sio kwa vile nmetii ndio unidanganye
Kama unauhakika poa me sizijui ntacount nn sasaSikudanganyi au unataka tucount.
unajua tanzania and kenya ni nchi mbili tofauti unapozungumzia malls sisi hatujazowea kwenda kwenye mall sisi tumezoa markets ndio maana dar kuna markets zaidi ya 50, sasa wenzetu uzungu umewajaa mpaka nyanya anafata mall definitely lazma iwe hvo....Bro nimehesabu shopping space/retail place ...kama ningehesabu parking space na office space zngekua zaid ya hizo