Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuambia compare hayo maeneo na dar slum ndio uwambie wenzako ni jinsi gani Nairobi na dar nikama mbingu na ardhi....halafu ndio utokwe na ushamba wa dar slum kama thogoto tupatane
We hujitambui 🙄thogoto ni wapi? Sasa Huko kote nakujua mpaka hospital ya macho ya Kikuyu Ingekua hata umefika hata mpakani ingekua afadhali 🙂lakini we ninavyo kuona ndo wale hamnazo wababaishe wenzako huko 🙂
 
Jamaa nimempa task simple ataje hata mtaa mmoja basi mwanza kimya🙄sijui njoo thogoto maeneo hayo yote nayajua hamna kitu🤣🤣🤣🤣
 
Jamaa nimempa task simple ataje hata mtaa mmoja basi mwanza kimya[emoji849]sijui njoo thogoto maeneo hayo yote nayajua hamna kitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asikusumbue huyo kuna siku nilimtrace nikagundua mpk ss bado anatumia simu ya 2G nikam expose akatia huruma sn mpk nikajisikia vby lkn umkute anajisifu ss [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Asikusumbue huyo kuna siku nilimtrace nikagundua mpk ss bado anatumia simu ya 2G nikam expose akatia huruma sn mpk nikajisikia vby lkn umkute anajisifu ss [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Maskini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
ni kama umefukuza jamaa! wewe ni noma!!! 🤣 🤣 🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 Jamaa kajiumbua mwenyewe Tanzania hatupendi longolongo na maisha ya kuigiza 🤣🤣🤣😊ukishtukiwa utaicheza Ngoma ya sebene🤣mbona Sisi tunamapungufu yetu tena mengi Sana lakini tumejiridhisha tu Ila majirani zetu🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…