Kuvipata na penyewe usidhani ni easy kihivyo! Hii quality ya kiatu tulizoea kuvipata kwa 200k+ saivi ni 80k usifikiri utavipata easy in bulkHio iko affordable. Ikija Kenya bora ni pure leather nitainunua. Jitumeni kibiashara mzilete huku mpige pesa ndefu. Hata hamna competition maana Kenya sidhani kama tunaunda vitu kama hivyo.
Halafu huku Nairobi nimeona wasichana wengi kutoka Uganda wanakuja kufanya kazi za nyumbani. Yaani kuosha nyumba na kupika na kadhalika. Sijui kama umenotice hio trend?Hata kama wapo Mimi Nina issue zangu zimenileta huku ikiwemo kupiga picha za Nai😃😃
Kawaida pure leather bei yake iko juu kidogo lakini inalast muda mrefu halafu inapendeza kushinda synthetic leather.Kuvipata na penyewe usidhani ni easy kihivyo! Hii quality ya kiatu tulizoea kuvipata kwa 200k+ saivi ni 80k usifikiri utavipata easy in bulk
Japo kiwanda kina capacity ya jozi million 1.5 lakini demand ni kubwa mno
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hao ndiyo wazee wa jiji kali...Leo nlitaka kwenda Kula chips na mishikaki ya Nairobi nikakutana na hivi vitu hamu ikaisha[emoji849][emoji849]View attachment 1711026
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] siwezi mzee kwanza naanzia wapi,,,,Wazungu nawajua, nimeishi nao. Hawachambi. Halafu wewe hujawahi kulala na dem yeyote wa Kikenya. Huna pesa hata ya kununulia msichana lunch ndio utaweza kuwapiga pumbu?
nani aliyekudanganya,,hizo single room za wanaoanza life kama vile wanafunzi wa high school ama watoto wanaoanza chuo 1st yearKijana anayeishi hapo kw dar huaga anavimba kitaani[emoji1787][emoji1787]
Sijawahi kuona full picture ya hii bus terminal. Hua naona tu kipande cha juu. Sijawahi kuona hicho kipande cha chini. Hili jengo ni matata.Mbezi Luis Bus Terminal is [emoji91]View attachment 1711111
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mpuuzi huyoEquity Bank
Kenya Commercial Bank
And a host of many others
Wakati mnawahahakikishia km kwenu hakuna corona hamkulijua hilo watakatifuHuo ugonjwa uko kila mahali na ni hao wazungu waliusambaza duniani kabla hawajaitaja nchi yyte wakumbuke chanzo alikua nani
Niliwaambia ni zaidi ya Nairobi terminus in size! Mkatoa povu la ugoro!Sijawahi kuona full picture ya hii bus terminal. Hua naona tu kipande cha juu. Sijawahi kuona hicho kipande cha chini. Hili jengo ni matata.
Hehehehe!!sasa unafikiria m nadanganya sio, dar kijana akipanga sehemu km hyo huaga ana vimba..nani aliyekudanganya,,hizo single room za wanaoanza life kama vile wanafunzi wa high school ama watoto wanaoanza chuo 1st year
Tsup biyatchWe mbulula unanitafuta?