Hivi unajua Kenya ina ingia mara 3 kwa Tanzania 🙂ina maana mikoa yetu ni mikubwa na zipo nyingi tu🙂kingine sio kila mtu anapenda kutumia usafiri wa angani kama Mimi hapa kama safari sio ya dharura natumiaga basi🙂mabasi yana umuhimu sana kwetu🙂na ndio usafiri mkubwa sio Tanzania tu hata kwenu huko sema unataka kuzua hoja🙂je unajua kuna watalii wengi wanatumiaga mabasi yetu🙂Ku connect nchi za south afrika.Yaani hata time frame hamna...mradi unastahili ujulikane unaanza lini na utaisha lini ...lakini hapa ni kubahatisha tu....
Halafu bus station ndio inamaana ganai ikawa na kuta kuuuubwa kibonzo bonzo yaani kufanya mabo pasipo na hekima balaa
Yes.Really?
Really?
Chizi huyoReally?
Kipindi cha JK watu hawakua wanafiki kama sasa hv, kujipendekeza kumezidiJK alijenga hii interchange lakini hatukuwahi sikia makelele kama saizi
Ukigawa kwa miezi 6 hata iyo tsh 800B haitafikaThis is the revenue KRA got at the Mombasa port in 6 months.
View attachment 1709117
Hakuna port in East Africa enye inaezashindana na Mombasa port ikifika kwa revenue.Chizi huyo
One month alone KRA collects more than tsh 700B in Mombasa. I guess hiyo tsh 700 ni revenue ya mwaka mzima katika bandari zote za Tanzania.Ukigawa kwa miezi 6 hata iyo tsh 800B haitafika
Inaingia mara 1.8Hivi unajua Kenya ina ingia mara 3 kwa Tanzania 🙂ina maana mikoa yetu ni mikubwa na zipo nyingi tu🙂kingine sio kila mtu anapenda kutumia usafiri wa angani kama Mimi hapa kama safari sio ya dharura natumiaga basi🙂mabasi yana umuhimu sana kwetu🙂na ndio usafiri mkubwa sio Tanzania tu hata kwenu huko sema unataka kuzua hoja🙂je unajua kuna watalii wengi wanatumiaga mabasi yetu🙂Ku connect nchi za south afrika.
Point ya mwisho ardhi tunayo we can do whatever we want🙂
Wow. I didn't know this. You have taught me something new.This is the revenue KRA got at the Mombasa port in 6 months.
View attachment 1709117
Kenya is punching above its weight. Are you aware that the revenue that GOK gets from Mombasa port is equal to the revenue Nigerian government gets from all the ports in Nigeria. Remember Nigerian population is 5 times that of Kenya.Wow. I didn't know this. You have taught me something new.
Tulia utapigwa na Watanzania wenzako. Huwa hawapendi upinzani wa aina yoyote. Watakubatiza Ukenya.Ipi hiyo iliyofunika,mbona huitaji ? unabwabwaja tuu.2015 tayari Wajapan walikuwa site Tazara na Ubungo,Wakorea walikuwa kwenye mobilization ya salander bridge na pesa zilikuwepo alizo mobilize JK
Tumiradi tembo mweupe twa Magu ni stori na kujisifia bila ku deliver,huyu alishadhibiti freedom of press and opposition ili wasifukue madudu ila bado ni mtu wa kulia lia since day one..tuonesheni reli basi.
Miaka 10 ya JK aliifungua nchi kwa barabara za lami sasa miaka 5 ya Magu hadi leo hii kigoma na kanda ya magharibi ni kuogelea kwenye matope tuu,imagine eti ndani ya 5yrs wamejenga less than 4500km of paved afu ndio wana jimwambafy,hadi Mkapa alianza kumchana huyo mtu wanu.
I didn't know this either. Once in a while you can post some of these facts in the Lapsset thread which acts as a thread for posting anything related to ports. $4 billion is no joke.Kenya is punching above its weight. Are you aware that the revenue that GOK gets from Mombasa port is equal to the revenue Nigerian government gets from all the ports in Nigeria. Remember Nigerian population is 5 times that of Kenya.
Tuta tuta tuta.nawaonea huruma wakenya .. kwa kuwanyang’anya hili bomba
You didn't know this?., This is one of the reasons among others Kenya is the biggest non resource economy in the whole of Africa. Coming 6th biggest GDP, and third in Sub Saharan Africa. #UchumiWaKwenyeMakaratasi kwa wale wenye wivu[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]Kenya is punching above its weight. Are you aware that the revenue that GOK gets from Mombasa port is equal to the revenue Nigerian government gets from all the ports in Nigeria. Remember Nigerian population is 5 times that of Kenya.
Mradi huu utaahirishwa tu kama kawaida yenu Malazy.nawaonea huruma wakenya .. kwa kuwanyang’anya hili bomba
And that was revenue alone, ripple effect ya biashara zenye zilileta hii revenue ni ngapi je?, apart from transit cargo., #uchumiWaKwenyeMakaratasi[emoji123]This is the revenue KRA got at the Mombasa port in 6 months.
View attachment 1709117