Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani ni vile dar iko down yaani nikiiona kibera bass najiona niko daresalaam
 
utaishia kutaja estate tu......hapo ndiyo mwisho wako
 
Kenya is a very beautiful country...Siwezi kuja ishi ardhi ya tz mimi...
labda Kidogo tu nifate yule dada dancer wa zuchu mweupe...huyo tu ndio atanileta upande huo..na baada ya kujirithisha nirudi ardhi ya kenya
 
Kenya is a very beautiful country...Siwezi kuja ishi ardhi ya tz mimi...
labda Kidogo tu nifate yule dada dancer wa zuchu mweupe...huyo tu ndio atanileta upande...na baada ya kujirithisha nirudi ardhi ya kenya
Mdada dancer wa Zuchu mweupe ndio yupi? Sababu naona kama wote weupe
 
Kenya is a very beautiful country...Siwezi kuja ishi ardhi ya tz mimi...
labda Kidogo tu nifate yule dada dancer wa zuchu mweupe...huyo tu ndio atanileta upande huo..na baada ya kujirithisha nirudi ardhi ya kenya
80% of Kenyans wish this.....

 
Kenya is a very beautiful country...Siwezi kuja ishi ardhi ya tz mimi...
labda Kidogo tu nifate yule dada dancer wa zuchu mweupe...huyo tu ndio atanileta upande huo..na baada ya kujirithisha nirudi ardhi ya kenya
unaongea utopolo ,kwanza hauna uwezo wa kujiefford utawezaje kumove n'nje ya dandora
 
aisee watanzania namtaka huyu demu...dancer wa zuchu...huyu pekee ndiye atakaye nileta huko tz....Yuatwa Nani vile...atakaye niubganishia nitamkaribisha Nairobi wiki nzima Kwa gharama yangu...And then I'll take you to the tallest building in East Africa
 
Naona umetembea kenya sana...KUTAFUTA riziki sio?
Mie siijiu tz....Ila huyu dancer wa zuchu huyu atafanya nije.....na nikija msinipige oya...si mwajua vile mna roho chafu nyie aisee
 
Sasa boss mengine yote tumewatupilia mbali...ninini mnayo juu yetu....tumewashinda Kwa kila kitu.. apart from kuongea Kiswahili saaaana
ndiyo mmetushinda kila kitu,,,,,

ila kinachonifurahisha bado mpo hapa mnapiga makelele wakati mmetushinda kwa kila kitu...

what's wrong broda....?..umewahi ona wapi tajiri akipoteza mda mwingi kubishana na maskini...?

tungekuwa sisi WaTz tusingeneng'eneka wakati tunaushindi[emoji1787][emoji1787]
 
Umpeleke mbongo kwenye famous Nairobi attraction eti?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…