ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mm hua nakupa facts hata kama unaumia bro leta street za mombasa as requested kwani tabu iko wapi ww unalazmisha moi avenue iitwe street wakat ndio barabara kubwa mombasa wewe akili unayo kweli ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃOna reasoning uchwara ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ , ume google Moi Avenue, imekupa ya Nairobi, unajua maana ya jina avenue na street kweli ama ni ushamba unaanika humu? hehehehe.,
Mwanza the second city in Tanzania., huna la ziada