Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Wew unafurahi kuita old town uchafu huo mwisho utawaponda jinga kabisa
 
Wew unafurahi kuita old town uchafu huo mwisho utawaponda jinga kabisa
Kuna tofauti ya old town na kwingine., unajua maana ya neno hostorical heritage?., a section preserved., in the first clip hiyo old town is not covered., Mombasa ilivyo kwa sasa.., mwenye wivu ajinyonge

Old town clip; UNESCO world heritage site..,
 
That ugly thing from outside[emoji15]inakupa orgasm[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] , ndani walijaribu lakini, afadhali Mombasa Terminus mara mia nje na ndani kote ni [emoji91][emoji91][emoji91]., ngojeni train ya umeme tu[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]., eti the mighty what?? ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚




 
[emoji3][emoji3][emoji817][emoji3581]
 
Mkuu yosef wewe reference zako ni Mmawia na Kennedy?[emoji28][emoji28]
Not really kaka, I know Dar, mie najaribu tu ku bust the bubble ya vilaza humu wanao danganya watu kuhusu Tanzania., facts tu ndio dawa., ila sina ubaya na mtu, ni debate tu..,
 

Wakenya tukisema mna poor planning kwenye miundo mbinu yenu huaga mnakataa๐Ÿ™‚​

Hilo foot bridge Mombasa road Bellevue mnayo claim gharama yake 180ksh million ina bomolewa Ku pave way for Nairobi express way alo sema lijengwe pale alikuwa anategemea nini? Alafu bridge lenyewe na gharama yake sasa daaah kweli Kenya mnapiga hela vibaya Sana๐Ÿ™‚
 
hi ni leo, angalieni wenyew mazingira yalivyo machafu
Nionyeshe uchafu pale Kayole na Dandora kwa hizo picha., nyie mnajua ni slums sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., hapa Kenya yale maeneo yako under slums, meaning by Kenyan standards Dar ni slum 90% ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ onyesha takataka kaka...,
 
Dar metro polis[emoji1787][emoji1787]
Mlandizi ni vitongoji vya dar
Dar hapo utakua umeenda mbali sana, maisha ya vitongoji kama hayo yamezunguka mji., kabla ufike pale utakua umejionea a 21st century Tanzanian city..,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
"Dar electrical sgr station"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzee kaa utue jamani utakufa kw presha bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ