Kenya haikutoa ilani wewe bongolala. Marekani na nchi nyingi za Ulaya ndizo zilizotoa ilani baada ya wasafiri wengi kutoka Tanzania kugundulika kuwa na kirusiHuwezi kutoa ilani ya nchi nyingine wakat wewe mwenyewe uharo unakutoka au unafkiri uganda rwanda na nchi zingine kukaa kimya ni wajinga?? Nyie ndio munaakili tatizo lenu nyinyi sisi tunawajua vzr sana
Kwani rais anaposema tuchukue tahadhari anamaana gani lakini issue ni kua hatutaki watu wapate hofu na mishtuko hicho ndio sababu za vifo, chuki chuki zitawasaidia niniKwa hivyo ni kweli kuna corona Tanzania?? 😂 😂
Cha pili, wewe unajuaje alipona wakati hakuna taarifa kuu iliyotolewa kudhibitisha hayo?
Marekani na ulaya hio ni kawaida yao kwani hawakulzmisha africa waowane wanaume kwa wanaume umesahau wewe?? Achana na wazungu sisi tunazungumzia kenya mzee kwann muongee nyinyi pekeenu africa ?? Munashida gani na tanzania ?? Kwani magufuli aliwafanya nnKenya haikutoa ilani wewe bongolala. Marekani na nchi nyingi za Ulaya ndizo zilizotoa ilani baada ya wasafiri wengi kutoka Tanzania kugundulika kuwa na kirusi
Tatizo na chuki ni wivu.Ushawah kuskia media ya tanzania inazungumzia habari za corona za kenya au za uganda au za rwanda ??? Lini umeskia
Taarifa zilitolewa hadi na wachina.Sisi tunaonglea kenya wachana na wazungu hao tunawajua miaka yote
Kwann kenya na sio africa ?? Munachuki na magufuli for what au kwasababu kaipigisga tanzania hatua kubwa sana au???
Taarifa zilitolewa hadi na wachina.
Zanzibar’s first Vice President, wife being treated for COVID-19
Zanzibar’s First Vice President, Seif Sharif Hamad has contracted the coronavirus, his party said Sunday.africa.cgtn.com
Hapa Africa, hata South Africa walizungumzia hili so sijui mbona majasiriko
News 24 ni america ? Sasa unshangaa nn hapo sisi tunazungumzia kenya kwann wawe peke yao africa ?? Kwann sio uganda kwann sio malawi kwann sio rwanda and burundi, y not ethiopia and zambia kwann iwe ni kenya ???? Munashida gani na tanzaniaTaarifa zilitolewa hadi na wachina.
Zanzibar’s first Vice President, wife being treated for COVID-19
Zanzibar’s First Vice President, Seif Sharif Hamad has contracted the coronavirus, his party said Sunday.africa.cgtn.com
Hapa Africa, hata South Africa walizungumzia hili so sijui mbona majasiriko
Ukiona jirani yako maisha yake yanaenda vizuri na biashara zake zinaenda vizuri usimchukie wala kuweka chuki yoyote mfate muulize yeye anafanyaje ili na wewe ufanye ila ukiwekeza kwenye chuki utapata tabu sana.Kwani rais anaposema tuchukue tahadhari anamaana gani lakini issue ni kua hatutaki watu wapate hofu na mishtuko hicho ndio sababu za vifo, chuki chuki zitawasaidia nini
wewe kalio kweli kijana.Kwa hivyo ni kweli kuna corona Tanzania?? [emoji23] [emoji23]
Cha pili, wewe unajuaje alipona wakati hakuna taarifa kuu iliyotolewa kudhibitisha hayo?
Yani bro hata inashangaza hata ukikaa ukawazaUkiona jirani yako maisha yake yanaenda vizuri na biashara zake zinaenda vizuri usimchukie wala kuweka chuki yoyote mfate muulize yeye anafanyaje ili na wewe ufanye ila ukiwekeza kwenye chuki utapata tabu sana.
Kenya imeamua kuwekeza kwenye chuki na mfano ni hawa wakunya certified nincompoop za humu jf [emoji23][emoji23][emoji23]
So, what is ur suggestion? Kwmb tuwaige nyie au?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kinachoniuma ni jinsi nchi nzima imejaa vilaza wa kudanganywa kama watoto
Ndio hapo mm nashangaa 😁😁😁😁 hawa wanachuki kwann tanzania utalii unasomga mbele wakat kwao utalii umekufa 😆😆wewe kalio kweli kijana.
unaijua corona wewe!! yaani mtu aumwe corona asipone atoke azurule!!!
Badala kuumia na watu wake wanakufa na njaa, 2b ksh zinaibiwa kila siku, vijana hawana ajira na sasa unemplyment rate kwao ni times three of tanzania 😁😁 yeye anahangaika na corona tanzaniaSo, what is ur suggestion? Kwmb tuwaige nyie au?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
kenya ni fisi, anayetamani nyama za msibani na kwenye harusi kwa pamoja.Ukiona jirani yako maisha yake yanaenda vizuri na biashara zake zinaenda vizuri usimchukie wala kuweka chuki yoyote mfate muulize yeye anafanyaje ili na wewe ufanye ila ukiwekeza kwenye chuki utapata tabu sana.
Kenya imeamua kuwekeza kwenye chuki na mfano ni hawa wakunya certified nincompoop za humu jf [emoji23][emoji23][emoji23]
Na mbn watalii bado wanafurika [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sawa sisi tuko na ujinga. Mbona huo uerevu wenu haihazuia moja wa makamu kuangushwa na corona. Na pia mbona haijazuia mataifa za kigeni kutoa Ilana dhidi ya Tanzania?
South Africa pia Ni ulaya 😂 😂Marekani na ulaya hio ni kawaida yao kwani hawakulzmisha africa waowane wanaume kwa wanaume umesahau wewe?? Achana na wazungu sisi tunazungumzia kenya mzee kwann muongee nyinyi pekeenu africa ?? Munashida gani na tanzania ?? Kwani magufuli aliwafanya nn
achana na kiazi huyo, atakuchosha tu.Na mbn watalii bado wanafurika [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani unesikia Kenya ndio watalii hawaji kisa kuna Corona?Na mbn watalii bado wanafurika [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wanakuja wakuhesabika kwani waziri wenu balala hua anasema uongo 🤣🤣🤣🤣Kwani unesikia Kenya ndio watalii hawaji licha ya uwepo wa Corona?
Of course kusikia ukweli huchosha mtu akili 😂achana na kiazi huyo, atakuchosha tu.