Ajionee kwanza old Mombasa panavyo fananaSame Nairobi kuna sehemu mingi sana hazipo kwa drone clips zenye nimetqzama na zenye ziko humu., Kwanza Mombasa ndio bado haijawekwa kikamilifu., drones and pictures are restricted sehemu nyingi sana kwa ajili ya security issues., Afrikan Traveller alikamatwa na kunyang'anywa drone yake akijaribu kuchukua drone views za Nyali., Uwezi pata Nyali views yote anywhere mpaka utembee., akina Tudor etc, nakuelewa hapa.
[emoji485][emoji485] poaThank you for your response. Maoni yako yanakubalika tu. Respect man[emoji106].,
inaweza tukawa wachina kabisa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hatuna chakupinga jamaa kapitisha kwamba waswahili ni watu wa pwani it means watu wa TZ bara wao ni waingereza
kuwa serious ,,,unapokuwa unakula hiyo milungi yako ujitahidi kujicontrol kama hauwezi achana nayo imekushinda hiyoAjionee kwanza old Mombasa panavyo fanana
View attachment 1699123
waje tunawakaribishaDege lenye uwezo wa kubeba watu 308 hadi 400 liko njiani kutoka Amsterdam kuja KIA direct flight
View attachment 1699124
Si mahala pake.Mzee Jafo ni mtu wa kuzunguka tu ila hana jicho la kujua tatzo lilojificha hasa kwenye mapato ya halmashauri, kuna upigaji wa hatari...Jafo anaona tatizo mpaka liwe wazi sana ni rahisi kumdanganya na akabaki kusifia sifia tu mara Raisi cjui Raisi..Kama kuna mtu anafanya kazi halmashauri atakubaliana na mm jamaa kafeli kwenye kudhibiti wizi na ufujaji wa pesa kwnye halmashauri. Amebase sana kwnye miradi wakati uku watu wanapiga.
A nice view. [emoji91][emoji91][emoji106]Ajionee kwanza old Mombasa panavyo fanana
View attachment 1699123
I like the blend ya Arab na Portuguese architecture na plan ya Mombasa old town., thin streets and laid back culture ya wa waswahili inapendeza sana, hakuna haraka, ibaki vile vile, tusipeleke kule unairobi.,,Ajionee kwanza old Mombasa panavyo fanana
View attachment 1699123
Zanzibar si tanzania 😏Dage jingine lenye uwezo wa kubeba watu zaidi ya 300 linategemewa kutua Zanzibar likitokea Ukraine.
Moto ni ule ule, wala hatupoi
View attachment 1699129
Kazi yangu umeimaliza!?Zanzibar si tanzania 😏
Vipi kuhusu kazi kama umeshindwa sema Mzee. Brian unadhani sisi ni mbumbumbu kama nyie!?
mwaka huu watalii watapitiliza ile idadi ya msimu uliopitaDege lenye uwezo wa kubeba watu 312 linategemewa kutua Zanzibar leo likitokea Russia.
Moto ni ule ule
View attachment 1699128
Unayasema wewe hayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hehehehe unataka nikutajie IDs zangu uone ninavyopelekana na UFIPA?[emoji3][emoji3][emoji3]
Wanayoichukia ccm ni watanzania ndio manake ukaambiwa kapinge hko[emoji1787][emoji1787]Huwezi nikuta na hasira kwasababu maisha yangu nimejiekea furaha kwanza [emoji28][emoji28][emoji28] nyinyi kama mushaona huu mwaka kuna kitu kitawafanya mukose raha sijui muanze kuichukia CCm hio haitawasaidia mark my words [emoji2][emoji2][emoji2]