CCM hata usitaje humu., hiyo ni yako bro, your clips are clear, hauitaji kuongeza maneno ili kuyakweza., iko wazi tu. eti heshimaππππSababu gani uehehhehehehhehe π€£π€£π€£ sasa hvi heshima itakuwepo sasa endelea kuichukia Ccm sasa
Aisee, kuna mtu alisema majuzi hapa haipiti mwezi kuna bweni litawaka moto Kenya.
safi sana,nimependa speed ya wachina....kumbe huwa wanatufanyiaga makusudi tunapowapa cash wanachelewa kimiradi ila mchakato ukiwa juu yao kwa pesa zao wanafanya kwa speed
Ilikua ni lazima π€£πWakati tunaendela na mnyukano, Afrika Kusini wamekataa vaccine ya AstraZeneca ambayo iliingia wiki jana. Walipozifanyia uchunguzi zimeonekana hazifanyi kazi kwenye kirusi cha Afrika kusini kilichobadilika.
Kwa mtazamo wangu naona sasa wameamua kumsikiliza Magu, maana mwaka jana walimbeza.
Sio mwezi ni kila baada ya wiki π π πAisee, kuna mtu alisema majuzi hapa haipiti mwezi kuna bweni litawaka moto Kenya.
utarudia hizi mara ngapi bro?ππππππ., same thing, different vlogers, na angles., now usiongeze maneno yako kamwe, wacha clips zako zijitetee tu.,πππππ kwa kiswahili na umwehu hamna mpinzani, video clip is king for the debate., thank you for the clips., Eldoret size yake kabisaaaaπππ., no more wordsNasema mombasa ikitoka hapa nitag mm nifunge acc jamii forum hakuna porojo wala mama yake ππππππππππ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£CCm inawanyima usingizi hasa CCm ya magufuli manake hamulali hamuli mukashibaCCM hata usitaje humu., hiyo ni yako bro, your clips are clear, hauitaji kuongeza maneno ili kuyakweza., iko wazi tu. eti heshimaππππ
Issue za siasa za Tanzania huzijui wewe. Achana na nchi iliyojiimarisha kisiasa. Kenya bado ni primitive country bado mnaongea ukabila, mambo ya stone age.CCM hata usitaje humu., hiyo ni yako bro, your clips are clear, hauitaji kuongeza maneno ili kuyakweza., iko wazi tu. eti heshimaππππ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ mbona hujibu sasa au niongeze mzigo πππππutarudia hizi mara ngapi bro?ππππππ., same thing, different vlogers, na angles., now usiongeze maneno yako kamwe, wacha clips zako zijitetee tu.,πππππ kwa kiswahili na umwehu hamna mpinzani, video clip is king for the debate., thank you for the clips., Eldoret size yake kabisaaaaπππ., no more words
we unawaza uchawi tu....Nyinyi watu mna peculiarities zingine za maajabu. Sasa kupiga nyungu ndio kufanya nini? Huo unakaa kama uchawi. Sisi Kenya hatuna mambo kama hayo.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ CCm ya magufuli inawanyima usingizi hawalali maskini sasa hvi wako sawa na zimbabwe kwenye umaskiniIssue za siasa za Tanzania huzijui wewe. Achana na nchi iliyojiimarisha kisiasa. Kenya bado ni primitive country bado mnaongea ukabila, mambo ya stone age.
Uheheheheheh π π π π umebakia kutoa porojo na mapovu mbona hujibu sasa utabakia kutuonesha huu ushuzi πππ pamoja na filter kukolewa lakini bado ushuzi unaonekanautarudia hizi mara ngapi bro?ππππππ., same thing, different vlogers, na angles., now usiongeze maneno yako kamwe, wacha clips zako zijitetee tu.,πππππ kwa kiswahili na umwehu hamna mpinzani, video clip is king for the debate., thank you for the clips., Eldoret size yake kabisaaaaπππ., no more words
thank you very much., na usiongeze maneno yako from now onwards video zinajieleza tu., π π π π π π umenifurahisha sana., Tanzania.,π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ mbona hujibu sasa au niongeze mzigo πππππ
povuuuπππππππ mwaga kabisaaπππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£ CCm ya magufuli inawanyima usingizi hawalali maskini sasa hvi wako sawa na zimbabwe kwenye umaskini
Kenya ranked with Zimbabwe among poorest countries in World Bank Report
Kenya ranked with Zimbabwe among poorest countries in World Bank Report: Kenya has been ranked as the third poorest lower-middle-income country globally according to the latest report released by the World Bankdiasporamessenger.com
Dar es salaam tu.,Uheheheheheh π π π π umebakia kutoa porojo na mapovu mbona hujibu sasa utabakia kutuonesha huu ushuzi πππ pamoja na filter kukolewa lakini bado ushuzi unaonekana
View attachment 1697445View attachment 1697446
Wacha Mombasa ijitetee kwa video clip, maneno yako ni maoni yako., let the people see for themselves kama ulivyo weka clips za Mwanza., hakuna cha kiswahili na porojo hapa., let the videos do the talking bro., nimewacha pia Mwanza clips zijielezee.,Uheheheheheh π π π π umebakia kutoa porojo na mapovu mbona hujibu sasa utabakia kutuonesha huu ushuzi πππ pamoja na filter kukolewa lakini bado ushuzi unaonekana
View attachment 1697445View attachment 1697446