Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hawa wa africa wanaoishi kenya kwakweli ni ngumu kuwaelewa
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Unajua shida kubwa hua wanakurupuka yani wao wanahisi tanzania ndio mhasimu wao wakat sisi hata hatuangaiki nao, hawapendi kuona tanzania ikipiga hatua huwa wanachukia sana ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Una maanisha kambi popote!
Nouma!

Huwa nawaona mnavyo jadili kuhusu maisha. Maisha ya Wakenya na Wasouth Afrika yanashabiriana.

Both of these societies zinamaisha magumu sana, mno. Sema, ukiona cosmetics za miji yao na bararbara kwa picha unaweza ona ni maisga flani.
 
kuna shida kuiba? naona hapo kuna kamlima.. nakumbuka tuliwah kuwa na maneno hayo kwenye jezi za timu ya sunderland sijui ile kule uingereza
As Kenyaโ€™s Tourism Crumbles, Here are PHOTOS of Sunderland Players Wearing โ€˜Visit Tanzaniaโ€™ Kits.

 
Unajua shida kubwa hua wanakurupuka yani wao wanahisi tanzania ndio mhasimu wao wakat sisi hata hatuangaiki nao, hawapendi kuona tanzania ikipiga hatua huwa wanachukia sana ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Tanzania kuna plan na security nzuri ndo maana mabilionea wengi from worldwide Wanaichagua kama travel destination Yao best๐Ÿ™‚nimekutana na watu wakubwa Sana katika mishe zangu za kila siku our motherland Tanzania infact ndio country in Africa ambayo ni mysterious kwa nature ukitoa pyramids za Egypt na Sudan na country ya Mali Timbuktu,no any other place in Africa ambayo kuna mystery nyingi Sana Kando na wildlife, Our beautiful country iko na history nyingi Sana kuna sehemu nyingi ziko an touched majirani sio tu Kenya but many eastafrican countries wanaionea wivu Tanzania mungu ibariki Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ™‚
 
Evidence ya kuwa Nairobi ina 2 million visitors umeitoa wapi? Au unaharisha tu data za uongo ili kufurahisha nafsi yako?

Cc komora096
 
Hizi wimbo za CCM mlizofunzwa tangu shule za Chekechea huwa zinanifurahisha sana.
 
Yah nmekumbuka aisee kumbe sisi ndiyo tulianza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ