Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,398
Hivi vibanda vya machinga vinanikera sana,ila hili dude ni la kinyama sanaWapi hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
View attachment 1693526Twiga Cement on LinkedIn: Miundombinu ya Barabara ni muhimu sana kwa uchumi wa Taifa letu. Makutano
Miundombinu ya Barabara ni muhimu sana kwa uchumi wa Taifa letu. Makutano ya Daraja la juu la Ubungo ni matokeo ya saruji bora ya Twiga. Road infrastructure...www.linkedin.com
Sio utani mkuu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ila wewe sikuwezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vinakera sn.Hivi vibanda vya machinga vinanikera sana,ila hili dude ni la kinyama sana
Moja wapo ya Siri zetu ni;,hatuna Tamaa,tunajitosheleza,wastaarabu afrika nzima,tunapendana,tunasaidiana,tunahurumiana,tunamuogopa mungu,wachapa kazi,wanyenyekevu.Tanzania is the most peaceful country in Africa. Ni kwa nini? Ni uoga wenu wa kuogopa kupindua serikali au ni nature yenu kutulia kama maji ya mtungini? Hata hamna rebels kwenye nchi yenu yet rebels wako katika 80% ya nchi za kiafrika. Aisee shukuruni mwalimu kwa kuwafanya muwe watuliwe na waoga. Vita sio jambo nzuri.
Daaah hii hatari bin danger 😟😟Sio utani mkuu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Shocking details of how 5 Kenyans were sold as slaves in Libya
They lost favour with their captors after they failed to withstand harsh climate and an arduous training regime by ISISwww.standardmedia.co.ke
Hivi expressway inayopitia kwenye misitu na kwenye bushes na emptiness and nothingness pia utaiita expressway kweli? Hio si ni barabara tu ya Kawaida?Hahahaha hilo ndio tatizo lenu Tony254
Swali linabaki pala pale ni expresway au sio expressway 😄😄😄😄Hivi expressway inayopitia kwenye misitu na kwenye bushes na emptiness and nothingness pia utaiita expressway kweli? Hio si ni barabara tu ya Kawaida?
Tazamqa hii upuuzi. Waganda waligongwa na Wachina.
View attachment 1694214View attachment 1694215View attachment 1694216View attachment 1694217
Expressway ya Kenya inapita kwenye capital city na kumejengwa kote kote. Hatujajenga expressway kwenye misitu sisi.Tunataka kuimprove image, looks and appearance of our city ili ifanane kama Houston au Los Angeles na barabara za juu kwa juu.
Tazama barabara za Houston, Texas
View attachment 1694218View attachment 1694219
Na za California hizi hapa
View attachment 1694220View attachment 1694221
Tuvivumilie tu hadi rais wa awamu nyingine aje.Hivi vibanda vya machinga vinanikera sana,ila hili dude ni la kinyama sana
Hahahahaaa duuhh expressway inapita msituni, aisee kweli Africa ni noma [emoji3][emoji3][emoji3]Hivi expressway inayopitia kwenye misitu na kwenye bushes na emptiness and nothingness pia utaiita expressway kweli? Hio si ni barabara tu ya Kawaida?
Tazamqa hii upuuzi. Waganda waligongwa na Wachina.
View attachment 1694214View attachment 1694215View attachment 1694216View attachment 1694217
Expressway ya Kenya inapita kwenye capital city na kumejengwa kote kote. Hatujajenga expressway kwenye misitu sisi.Tunataka kuimprove image, looks and appearance of our city ili ifanane kama Houston au Los Angeles na barabara za juu kwa juu.
Tazama barabara za Houston, Texas
View attachment 1694218View attachment 1694219
Na za California hizi hapa
View attachment 1694220View attachment 1694221
Hapo ndipo tunapokorofishana na Magu yn machinga wanamiliki mpk barabara, ukienda pale tandika unakuta ile road ndo wameichukua wao gari hakuna kupita, katikati ya barabara wao wanauza nguo, mpk kariakoo kote machinga wanafanya biashara barabarani, ss cjui Markets wanajenga za nn.Tuvivumilie tu hadi rais wa awamu nyingine aje.
Huyu wa sasa inaonekana anawapenda sana huoni amewapa hadi vitambulisho [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama pale tazara flyover na viaduct ya sgr pembeni,ukikaa kwa juu yaani seoul hii hapa ila ukiangalia kwa chini hivi kuanzia kwenye geti la bakhresa ni vibanda vya mbao tu yaani lazima unyong'onyee tu hata kama ulitaka kupiga photo kaliTuvivumilie tu hadi rais wa awamu nyingine aje.
Huyu wa sasa inaonekana anawapenda sana huoni amewapa hadi vitambulisho [emoji23][emoji23][emoji23]
Uongo. Wengi ni Wanigeria.Wengi wao ni Wakenya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Machinga huwa ni watu gani na wanauza nini? Maana huku Kenya hatutumii hilo neno.Hivi vibanda vya machinga vinanikera sana,ila hili dude ni la kinyama sana
Kabila gani hilo mkuu?Moja wapo ya Siri zetu ni;,hatuna Tamaa,tunajitosheleza,wastaarabu afrika nzima,tunapendana,tunasaidiana,tunahurumiana,tunamuogopa mungu,wachapa kazi,wanyenyekevu.
Alafu issue ya uoga hatuna sema hatupendi ugomvi na mtu🙂maana tanzania ina mojawapo ya makabila jeuri afrika lakin huwez ukaskia hata siku moja eti wamewanchinjana
Tanzania ukileta ujuaji wako serikali itakushughulikia na pia kingine tanzania community policing iko vizuri mgeni huwez uka tupangia maisha yetu respect kwa kila mtu peace🙂
Hahaha. Waligongwa na Wachina vibaya sana hawa Waganda. Wakiona ya Kenya ikielea kwenye city bila ya kupita juu ya misitu watalia na kusaga meno na kuwaambia Wachina wawarudishie pesa yao.Hahahahaaa duuhh expressway inapita msituni, aisee kweli Africa ni noma [emoji3][emoji3][emoji3]
Acha kuwa kipof na ww....na ww umekuw chenga snLinapita juu ya miti na bushes. Sasa hio ni expressway gani?
Hahaha. Umeniwacha hoi. City za Afrika zipo hivyo hata Nairobi kuna maeneo kama hayo.Kama pale tazara flyover na viaduct ya sgr pembeni,ukikaa kwa juu yaani seoul hii hapa ila ukiangalia kwa chini hivi kuanzia kwenye geti la bakhresa ni vibanda vya mbao tu yaani lazima unyong'onyee tu hata kama ulitaka kupiga photo kali
Nani alifanya Geita iwe Mkoa? JPM? Bila shaka habari umeshaipata.
Mimi ni kipofu? Hii ni nini?Acha kuwa kipof na ww....na ww umekuw chenga sn