Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ligi yoote hii ili walazmishe dar iwe na slum wakat haina ili wao wasionekane wana slums za ajabu duniani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mm narudia tena dar haitakua na slums mpaka dunia inasimama na dar haitaweza kufananishwa kwa makazi ya ovyo wanayoishi watu kwenye slums

Tony254 Nicxie Simba 254
 
Unajua maana ya middle income earner in Kenya ama unamaanisha middle income ya TZ?,. ju lower middle income ndio eastlands middle averagely ni kina kilimani, kileleshwa, Parklands etc., upper middle Spring Valley, Kitusuru, Lavington.,etc, kibera ni lower earners.,
mnapenda kulazimisha eti Tz ionekane nafuu, bro 80% na zaidi ni village type residential, nyumba za kishamba shamba, hayo mengine ni hadithi za vijiweni unatuletea.,
 
So hutaki ukweli au 🤣🤣🤣👇👇👇
 
Dar ni 80% village low life standards, period.
 
Na hao foreigners wanaishi wapi ??? Manake kazi nyingi zimeshikwa na foreigners ndio maana unemployment rate is three times of tanzania bado unajidanganya sasa😁😁😁
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bongolala, Kibera has only 200k people. How all low and mid income earners in Nairobi live in an area measuring just 2.5 square kilometers only a Tanzanian like you can explain
 
Hapo ni dar sehem gani ?[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ugoro unakusumbua ww.....
 
Wacha uwongo Kibera nani analipa ksh2000? Kuna mahali Kibera kodi ni ksh100 na watu wanashindwa ku afford, unabisha?
 
Kubali hujui maana ya apartment. Anyway, utaelewaje kitu hamna?
Na real estate maana yake nn hebu nifundishe wewe mjuaji 🤣🤣🤣🤣
Shida yako ni kwamba ulazmishe dar iwe na slum wakat hakuna 😁😁😁
 
ipo wazi nairobi maji shida je,,,,,hilo hiyo si huduma muhimu kwa binadamu....?

usipende kubisha bisha
Kwa hivyo sewer system sio huduma muhimu in a city? Sisi huenda tuko na shida ya maji, nyinyi mnajua hata maana ya neno sewer system?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…