🤣🤣🤣🤣 sijaona wakileta nyumba zao za estates ambazo si high end hata moja kwani hawa watu wanaishi kwa kichaka kelele tu ndo mingiDar es salaam is worse than a village kwa wingi!! heri kuishi mashambani., 80-90% ya sq km ni ushuzi(their saying) mtupu!!
Angalia hizo affordable housing in TZ Kwa matu wa hali ya chini sana tz[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijaona wakileta nyumba zao za estates ambazo si high end hata moja kwani hawa watu wanaishi kwa kichaka kelele tu ndo mingi
The reason kuna estates mingi sana zina tokelezea in the surrounding counties, kama in Kiambu, Machakos, Kajiado., hizo estates ni Nairobi imezimwaga kule, most are offshoots of Nairobi, the reason Nai imekua a Metro, yaani Nairobi Metropolitan, making it far bigger than Dar! hapa hawezi kukubali., and even that extension ukiongezea is still far developed than their whole 1600sq km in general, 😂 😂 😂You really want to sound like an informed person but the opposite Is the truth. Kama Nairobi is that small, which is a fact, ungejiuliza iweje inamudu kubeba kiasi kikubwa hivyo ya watu? The answer is so simple: There's vertical development ( I don't know whether you'll understand this) and that's why there are apartments virtually every where in Nairobi. Tatizo. These apartments accommodate more people in a small area.
huoni kuwa hizo sehemu zina mitaa na huduma zote muhimu....?Makazi yetu ni hayo na zenu ni hizi
View attachment 1693180View attachment 1693181View attachment 1693183View attachment 1693184View attachment 1693185View attachment 1693187
Alafu huoni haya wala kushtuka [emoji23]
Hizi zinkaa hostel tulikataa nilishakutumia how affordable planning inafaa kujengwaAngalia hizo affordable housing in TZ Kwa matu wa hali ya chini sana tz
View attachment 1693254View attachment 1693255View attachment 1693256View attachment 1693257View attachment 1693258View attachment 1693259
alishakuambia kuwa alifanya kazi za NG'O...Mnafanya nini Nairobi kama nchi yenu ni ya asali na maziwa? Mbona mnafanya biashara ndogo ndogo Nairobi? Mbona umekataa kujibu hili swali?
Angalia hiyo magnolia hill and the kind of homes it hastukiwaambia dar kubwa na sehemu nyingi za dar hatujapiga picha wa kuchukua video wanabaki kutoa macho.....
wao kila siku wanapost upperhil na kilimani estate ni zile zile tu miaka nenda rudi
Uhahahahha hutaki hesabu mkiambiwa ukweli munalia ndio maana dar hutapata slum na hilo mzungu analijua kwasababu mtu mmoja wa kawaida kumiliki nyumba 5 ni kitu cha kawaida sana tofaut na kwenu kumiliki ardhi ni shidaYou really want to sound like an informed person but the opposite Is the truth. Kama Nairobi is that small, which is a fact, ungejiuliza iweje inamudu kubeba kiasi kikubwa hivyo ya watu? The answer is so simple: There's vertical development ( I don't know whether you'll understand this) and that's why there are apartments virtually every where in Nairobi. Tatizo. These apartments accommodate more people in a small area.
Huduma zipi? Na aliyekuambia mitaa zetu hazina Huduma muhimu ni nani?huoni kuwa hizo sehemu zina mitaa na huduma zote muhimu....?
aisee ni kali sana sijawahi ona dunia nzima,,,,,Angalia hiyo magnolia hill and the kind of homes it has
Wacha midanganyika zijifarijiThe reason kuna estates mingi sana zina tokelezea in the surrounding counties, kama in Kiambu, Machakos, Kajiado., hizo estates ni Nairobi imezimwaga kule, most are offshoots of Nairobi, the reason Nai imekua a Metro, yaani Nairobi Metropolitan, making it far bigger than Dar! hapa hawezi kukubali., and even that extension ukiongezea is still far developed than their whole 1600sq km in general, 😂 😂 😂
Dar is ahead of nairobi kwa 3b usd in real estate bado tushindane nn, kazi yenu ni kwenda kupanga bedsitter pale umoja kwa nyumba za investors alf ndoto ya kumiliki ardhi inaishia kwenye makende🤪🤪🤪Asante kwa kuwa Mkweli.
ichoboy01 unaona jinsi Mtanzania mwenzako anavyosema ukweli kwamba hamna apartments.
ipo wazi nairobi maji shida je,,,,,hilo hiyo si huduma muhimu kwa binadamu....?Huduma zipi? Na aliyekuambia mitaa zetu hazina Huduma muhimu ni nani?
Nn maana ya real estate hebu tuanzie hapo?Hiyo ni apartment!? 😂 😂 😂 😂 😂
Wewe ulirogwa na aliyekuroga kafa
So ushawah jiuliza kwann dar is ahead of nairobi kwa 3b usd in real estate🤣🤣🤣Sisi si kwa matajiri tu ndo kuna good houses
Watu wa chini TZ ndio wanakaa huko ila kenya mid and low income earners wanakaa kibera hata kama ni hostel huwezi fananisha na kibera na mchakaka mengine ya Nairobi. Angalia apartments za middle class in TZ hizo hapo View attachment 1693271View attachment 1693275View attachment 1693273View attachment 1693272View attachment 1693274View attachment 1693276View attachment 1693277View attachment 1693278Hizi zinkaa hostel tulikataa nilishakutumia how affordable planning inafaa kujengwa
Maji ni shida wala si eti haiko. Wewe hapo hata sewer system unajua ni nini?ipo wazi nairobi maji shida je,,,,,hilo hiyo si huduma muhimu kwa binadamu....?
usipende kubisha bisha