Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar hamna nyumba za mabati bali za tofali!

Normal standards of living in Dar es salaam is low quality!! kiushamba sana., na wengi wame kodisha., tusidanganyane, you cannot comp;are to eastlands where 60% of Nairobians resides. Dar is an epi-centre ya low life standards of living in East Africa., on average 80-90% are living in village type houses, even worse., prove me wrong?





Look at some places in Dar..,na ni sehemu kubwa kubwa ju ya your big population sprawled all over..,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]takwimu zako ndio zinanipa kicheko
 
Hahaha. Hebu tafuta hizi picha zingine ulete humu. Wacha nisave hizi kwa simu yangu za kuwapiga baadaye.
 
Ndo hiyo mzungushwe eastlands yote nataka munionyeshe wapi slums mingi unasema ziko
Hawawezi kukubali facts, hio sahau, Afrikan traveler has put them in their place kwa mpigo., sasa nikutapatapa na cherry pick sections to suit their reasoning, povu na wivu 😂 😂 😂 😂
 
Huko sikujui
Mbona unasema sijui Nairobi? Hizo ni slums za buruburu 🙂Bro Nairobi naifahamu Sana nimefanya kazi na NGOS kibao zinazo shungulikia na kusikiliza Kero za Wana slums nakuwapa solutions wakati mwingine ni vizuri kukubali sio poa kubisha kila kitu najua unaipenda country yako Sana lakini kuna mambo mengi ambayo hayako sawa kama vile Sisi hapa tuna mapungufu yetu vile vile lakin kwetu matatizo ya slums hakuna🙂🙂
 
THE "MIGHTY" KIBERA DEMYSTIFIED., kimbilio la watani.,
 
Tunaongea kuhusu population between Dar and Nairobi wewe usharuka hadi unamention mikoa mengine. Hata jumbo rahisi kama kufuatilia hoja ni tatizo kwenu!!
Wewe kweli mzito kuelewa ulicho andika na nilivyokujibu nimetoa sababu kwanini Dar population ni ndogo kuliko uhalisia sasa unashindwa nini kuelewa? Majibu yangu yako very plain hata mtoto wa primary angeelewa.
 
Mbona unadanganya watu kwamba most of Nairobi ni slums? Lengo lako ni nini? Hatujakataa kwamba slums zipo lakini kwa nini unadanganya watu kwamba most of Nairobi ni slums?
 
Tatizo la slum hakuna lakini most houses are in pathetic standards it's like a big village
 
yaani kila siku makazi yenu ni hayo hayo tu no new it means nairobi kuna vijumba hivyo pekee[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnatoshaje humo angali mpo watu zaidi ya million nne hapo nairobi[emoji16][emoji16]?
Makazi yetu ni hayo na zenu ni hizi

Alafu huoni haya wala kushtuka 😂
 
if you are aware of the current status Are you aware of NMS????? Do you know what it is doing to nairobi?
I know the current status of both Nairobi and Dar., tuanze na ipi?
Nai.,Eastlands, a low middle income estates cannot compare to any place in Dar low middle income residential.,
 
Mbona unadanganya watu kwamba most of Nairobi ni slums? Lengo lako ni nini? Hatujakataa kwamba slums zipo lakini kwa nini unadanganya watu kwamba most of Nairobi ni slums?
Huo ni ukweli Nairobi is World capital of slums! Unabisha nalo hilo?
 
Tandale kuna apartments? Maana Kariobangi ujuwe kuna apartments nyingi. Usikute Tandale ni nyumba za mabati tu.
Watz wengi hatukai kwenye apartments ila tunamiliki houses na hapo Tandale ziko nyingi tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…