[emoji23][emoji23][emoji23]Most Nairobians wanaishi kwenye apartments. Wacha ujinga na roho mbaya. Analysis yako ya population density ni nzuri lakini conclusion kwamba most Nairobians wanaishi kwenye mabanda ni uongo
Nenda kaelezee wa kunya wenzio watakuelewa....sijawai kuona wanajeshi wajinga kama wenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] nyie hamna jeshi ila genge la wahuni walio jificha nyuma ya magwanda....Utamlaumuje mtu amabe hamusihi pamoja na tena huyo unayemlaumu ndio kaja kukusaidia na kuwauwa hao waliowavamia na kuwatandika..
What an irony, superpower kapatana na mziki wa kushtukiziwa sasa anataka tugawe aibu wakati kavamiwa upande wake
Ifanye kw new york city pia hvo hvo alafu ugawe recreational areas zote kisha ugawe kw populationNi simple math
chukua eneo la 1600kq ukigawa kwa watu 6m utapata jibu kwann watu wanamiliki nyumba na ardhi kwa wepesi
then
chukua eneo la 596km toa nairobi national park area anbayo ni 117km sq
View attachment 1692774
Utapata 479km sq igawe kwa population ya watu million 5 alaf utapata jibu kwann watu wanaishia kwenye mabanda ya nguruwe
very simple [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hoja kwisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nenda kaelezee wa kunya wenzio watakuelewa....sijawai kuona wanajeshi wajinga kama wenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] nyie hamna jeshi ila genge la wahuni walio jificha nyuma ya magwanda....
Zanzibar warusi wamejaa na bado wanaitana tu,huu mwaka huu tunaweza kuwapiga gape egypty na moroc π€ͺ[emoji23]
I knew you got no reply. Endelea kufurahisha macho na slums za Nairobi π πBasi utazunguka umuhumu hahahahaaa, mzee wa apartments [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aawapii watu wa vipande system!Most Nairobians wanaishi kwenye apartments. Wacha ujinga na roho mbaya. Analysis yako ya population density ni nzuri lakini conclusion kwamba most Nairobians wanaishi kwenye mabanda ni uongo
Ona sasa vile ujamaa imefanya jiji lenu likose mvuto kutokana na kukosekana kwa mpangilio mwafaka wa ujenzi wa mitaa.dsm ni jiji la ujamaa,sio ajabu kukutana na nyumba ya kawaida kabisa masaki,mbweni,sala sala,mbezi beach.
au kukutana na nyumba kali hayo maeneo niliyokuandikia hayana mpangilio.
Utalii na gold zinatuingizia $ zakutosha tuutalii mwaka huu tunaenda kupindua meza Africa nzima .. hapa kuna watalii tunaenda kuwafungua macho kuwa Tanzania kuna fukwe nzuri na vivutio vingi zaid ya Egypt na Morocco.
Blessings over blessings! (tourism, minerals, gas = more [emoji385])
mnakumbuka 2015 and back wakenya walikuwa wanatuzidi tourism earnings? hehee hilo vumbi (gap) tulilowaachia huko nyuma hawataisahau
Tofaut ya new york na city zetu ni kitu kimoja, newyork ni developed city wakat za kwetu ni developing city π€£π€£π€£π€£ yani ni sawa na mbingu na ardhiIfanye kw new york city pia hvo hvo alafu ugawe recreational areas zote kisha ugawe kw population
Kwenu kuna mpangilio? na kama upo je slums hzi zote zinatoka wapi mbinguni au??πππ€£ Au mzungu anawaoneaOna sasa vile ujamaa imefanya jiji lenu likose mvuto kutokana na kukosekana kwa mpangilio mwafaka wa ujenzi wa mitaa.
Jamaa siku zote kitu anachoona yeye ni dili ni apartment tu, yn yeye hana kingine cha ku offer zaidi ya apartments tu asubuhi, mchana, jioni anawaza apartment tu si bora wangekuwa wanaishi Wakunya basi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pako Sawa tu!!
π π π π π π π π π π πkitu pekee ambacho sasa mtasema tuwe wapole ni mpangilio wa nyumba za kuishi.
hili huwa siongei.
The Best 007 upo? π πPako Sawa tu!!
Wewe endelea kuteseka na kupiga kelele. Wengine wenu washajua ukweli iko wapiKwenu kuna mpangilio? na kama upo je slums hzi zote zinatoka wapi mbinguni au??πππ€£ Au mzungu anawaoneaView attachment 1692874
kitu pekee ambacho sasa mtasema tuwe wapole ni mpangilio wa nyumba za kuishi.
hili huwa siongei.
Kibera huwa ni kitulizo cha maumivu kwao. Kila wanapogusiwa hoja na wakose jibu, wote wanakimbia hadi kibera kama nyumbu angalau kujifariji π π Huwa nabaki nikicheka most of the timeMsameee[emoji1787][emoji1787]
Wanafikiria nairobi ni ya mchezo mchezo, huaga wanakosa kabisa kitu cha kujilinganisha na kwao inabidi waendelee kuwe mbele ya kibera tu