The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Ss nani asiyejua kwamba Nairobi nzima ni slums? Haya ni baadhi ya maeneo tu ya watu wa kati na pembeni tu ya hizo apartments unakutana na uozo [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Nairobi nzima ni slums [emoji23] [emoji23]
Take a look at slums in Eastlands [emoji23] [emoji23]
View attachment 1692273View attachment 1692288View attachment 1692339View attachment 1692414View attachment 1692415View attachment 1692416View attachment 1692417View attachment 1692418View attachment 1692419View attachment 1692423View attachment 1692424View attachment 1692425View attachment 1692426View attachment 1692427
That's Kibera bongolala. Usiumie sanaSs nani asiyejua kwamba Nairobi nzima ni slums? Haya ni baadhi ya maeneo tu ya watu wa kati na pembeni tu ya hizo apartments unakutana na uozo [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1692428View attachment 1692429
Kwahiyo Kenya slums zipo Kibera tu [emoji3][emoji3]That's Kibera bongolala. Usiumie sana
Pako Sawa tu!!Nairobi nzima ni slums [emoji23] [emoji23]
Take a look at slums in Eastlands [emoji23] [emoji23]
View attachment 1692273View attachment 1692288View attachment 1692339View attachment 1692414View attachment 1692415View attachment 1692416View attachment 1692417View attachment 1692418View attachment 1692419View attachment 1692423View attachment 1692424View attachment 1692425View attachment 1692426View attachment 1692427
Jamaa simu yako huwa haijai auuu, daily ni low betri [emoji367][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nairobi nzima ni slums [emoji23] [emoji23]
Take a look at slums in Eastlands [emoji23] [emoji23]
View attachment 1692273View attachment 1692288View attachment 1692339View attachment 1692414View attachment 1692415View attachment 1692416View attachment 1692417View attachment 1692418View attachment 1692419View attachment 1692423View attachment 1692424View attachment 1692425View attachment 1692426View attachment 1692427
Matumizi makubwa ya umeme kwasababu ya heating during winter? Very wrong.Zamani kidogo Nilipokuwa nafanya research yangu fulani niligundua kwamba jambo moja inayofanya nchi za ulaya kuwa na matumizi makubwa ya umeme ni kwa ajili ya heating during winter. Wanatumia heated gas ila pia wanatumia airconditioning systems na systems zingine zinatumia umeme. Halafu wakati wa summer nao wanatumia cooling systems ambazo nazo zinanyonya umeme kama maji. Kwanza uarabuni wanatumia airconditioning systems sana na hio inanyonya umeme kwa wingi. Sasa Africa tumebarikiwa na climate nzuri, hakuna baridi kali sana ya kufanya mtu ahitaji heating system na hakuna joto kali ya kumfanya mtu anunue cooling system. Good climate imechangia Sub saharan Africa kutotumia umeme kwa wingi. Kuna statistic moja nakumbuka nilisoma kwamba wakati wa summer huko California, kuna wakati 30-40% ya electricity consumption ni kwa sababu ya cooling the houses through air conditioning systems. So usione ulaya wanatumia umeme mwingi ukadhani kwamba umeme huo wote unatumika kwa sababu ya kuendesha mitambo na mashine ya viwanda, la hasha, 20% to 40% ya umeme huo unaenda kuheat au kucool their houses. Na hapa Africa hatuna haja ya kuheat au kucool our houses because of the perfect climate ambayo tumebarikiwa nayo na Mwenyezi Mungu.
Bwahahaha[emoji1787][emoji1787]Hata kwenye Chai hawatuzidi, issue ni kwamba Kenya ndio auction market ya Chai karibu yote ya ukanda huu inaenda kuuzwa Mombasa so ni takwimu za Chai za mataifa mengine pia zinajumlishwa kama zote za Kenya
Jamaa si utakufa kw presha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ss nani asiyejua kwamba Nairobi nzima ni slums? Haya ni baadhi ya maeneo tu ya watu wa kati na pembeni tu ya hizo apartments unakutana na uozo [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1692428View attachment 1692429
Eastlands ndio imumuumiza hvo[emoji1787][emoji1787]That's Kibera bongolala. Usiumie sana
Magomeni kota mnazindua lini zile bungalows[emoji1787][emoji1787]Jamaa siku zote kitu anachoona yeye ni dili ni apartment tu, yn yeye hana kingine cha ku offer zaidi ya apartments tu asubuhi, mchana, jioni anawaza apartment tu si bora wangekuwa wanaishi Wakunya basi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Basi mbona mwenzako kakasirika[emoji1787][emoji1787]Pako Sawa tu!!
Wakati wa summer umesema wanatumia gas kwa 90% for cooling? Naomba uweke evidence ya hilo. As for space heating najua gas inatumika sana ndio maana kwenye comment yangu nilisema gas inatumika kuwarm the air lakini wewe umeamua kuignore hio part.Matumizi makubwa ya umeme kwasababu ya heating during winter? Very wrong.
Source kubwa ya heating Ulaya ni gas kwa mfumo wa central heating. Nitakupa mfano wa UK ambao ni almost same na nchi zote za EU.
Central heating hence gas heating inatumika Kwa 85%. Umeme unatumika kwa only 6%. Why kwasababu over 90% ya nyumba zina central heating system inayotumia gas. Ukitaka naweza kukufafanulia how central heating system works.
Tukija kwenye cooling napo ambapo ni during summer umeme ni kama 10% hivi. Hamna kitu muhimu kwenye energy Ulaya kama gas. Na hata Russia (ambako gas nyingi inayotumika EU inatoka) anawakomoa sana EU kwa kutumia gas yake.
Pia heating inahitajika zaidi Ulaya kwasababu kipindi cha baridi ni kirefu kuliko joto.
View attachment 1692443
Zamani kidogo Nilipokuwa nafanya research yangu fulani niligundua kwamba jambo moja inayofanya nchi za ulaya kuwa na matumizi makubwa ya umeme ni kwa ajili ya heating during winter. Wanatumia heated gas ila pia wanatumia airconditioning systems na systems zingine zinatumia umeme. Halafu wakati wa summer nao wanatumia cooling systems ambazo nazo zinanyonya umeme kama maji. Kwanza uarabuni wanatumia airconditioning systems sana na hio inanyonya umeme kwa wingi. Sasa Africa tumebarikiwa na climate nzuri, hakuna baridi kali sana ya kufanya mtu ahitaji heating system na hakuna joto kali ya kumfanya mtu anunue cooling system. Good climate imechangia Sub saharan Africa kutotumia umeme kwa wingi. Kuna statistic moja nakumbuka nilisoma kwamba wakati wa summer huko California, kuna wakati 30-40% ya electricity consumption ni kwa sababu ya cooling the houses through air conditioning systems. So usione ulaya wanatumia umeme mwingi ukadhani kwamba umeme huo wote unatumika kwa sababu ya kuendesha mitambo na mashine ya viwanda, la hasha, 20% to 40% ya umeme huo unaenda kuheat au kucool their houses. Na hapa Africa hatuna haja ya kuheat au kucool our houses because of the perfect climate ambayo tumebarikiwa nayo na Mwenyezi Mungu.
Duh hebu nioneshe niliposema wanatumia gas kwa 90%Wakati wa summer umesema wanatumia gas kwa 90% for cooling? Naomba uweke evidence ya hilo. As for space heating najua gas inatumika sana ndio maana kwenye comment yangu nilisema gas inatumika kuwarm the air lakini wewe umeamua kuignore hio part. Tazama hapa chini mahali nimehighlight na nyekundu
What the hell is heated gas?! Wanatumia central heating system aka gas heating. Not that a certain type of gas is heated, NO.Wakati wa summer umesema wanatumia gas kwa 90% for cooling? Naomba uweke evidence ya hilo. As for space heating najua gas inatumika sana ndio maana kwenye comment yangu nilisema gas inatumika kuwarm the air lakini wewe umeamua kuignore hio part. Tazama hapa chini mahali nimehighlight na nyekundu
wacha uhuni baba! hayo ni matatizo ya wahusika kushindwa kufanya settings ilitakiwa isome Tshs! 🤣 🤣 ! hamna castle little ya $1500! Ingekuwa exotic champagne sawa!
kitu pekee ambacho sasa mtasema tuwe wapole ni mpangilio wa nyumba za kuishi.Nairobi nzima ni slums [emoji23] [emoji23]
Take a look at slums in Eastlands [emoji23] [emoji23]
View attachment 1692273View attachment 1692288View attachment 1692339View attachment 1692414View attachment 1692415View attachment 1692416View attachment 1692417View attachment 1692418View attachment 1692419View attachment 1692423View attachment 1692424View attachment 1692425View attachment 1692426View attachment 1692427
empty container linapulizwa na upepo kwenye loading!treni inalialia ngo ngo ngo utafikiri ng’ombe anapigwa shoka [emoji23][emoji23][emoji23] afu mmespeediisha video ili ionekane inakimbia haraka kumbe ni mwendo wa kinyonga