Tony my bro viwanda vikubwa vinahitaji nishati ya kutosha,hatuwezi kuwavutia wawekezaji pasipokuwa na nishati, kwahyo kinyerezi 1-2 na nyerere hydropower vyote ni potential kwa tz tena sana,tunahitaji nishati ya kutosha ili tuweze kuvutia uwekezaji .wenye akili hapo wanaona maviwanda makubwa,wanaona upatikanaji wa umeme nchi nzima bila kukatika katika Tena kwa bei nafuu,wanaona ukuaji wa uchumi kwa kasi .ngoja nikutaftie story ya hiyo mwalimu nyerere hydropower plant ili ujue ni kwann tunaijengaAsante. Umeelezea vizuri. Ni sharti muendelee kutumia Kinyerezi power plant hadi mrudishe investment mliyoweka ndani. Hata kama itatumika kama peak load maana hydropower ndio itakuwa base load yenu maana ni cheaper. Anyway ni vizuri tumeelewana hapo kwamba mitambo lazima zirun hadi zirudishe investment iliyomwagwa kule ndani.
Air conditioning haitumii "heating system", hutumia electricity to rotate motors the same as refrigerators and washing machines.Hebu chunguza nyumbani kwako. Unajua katika vifaa vyote ambavyo unamiliki nyumbani, vifaa vinavyonyonya umeme kama uji ni vile vinavyoheat jambo fulani. Kwa mfano kuna heater ya maji ambayo huwa inakula umeme bila mchezo. Hata kale kaheater kadogo ambako unatumbukiza ndani ya jug ya maji pia kana around 1,000 watts. Pasi nayo inatumia hata 2,000 watts kulingana na pasi unayotumia. So unaweza kuimagine mashine ambayo inacool hewa iliyo ndani ya nyumba yako wakati wa joto hadi hewa hiyo iwe cool itatumia watts ngapi?
Tazama hapa watts za airconditioning system ya nyumba moja halafu multiply na millions of houses in a city.
View attachment 1691868
Nikisema heating system namaanisha space heating and space cooling. Ukisoma post yangu polepole bila mbwembwe utaona kwamba mimi mwenyewe nimesema systems hizi zinatumia umeme. So hakuna kitu mpya umesema. Kwani unadhani nilisema hizi systems hazitumii umeme? Nionyeshe ni wapi kwa comment yangu nilisema kwamba airconditioning haitumii umeme?Air conditioning haitumii "heating system", hutumia electricity to rotate motors the same as refrigerators and washing machines.
Duh we acha tu,taifa limetoka mbali hili kakaMkapa kwani naye alikuwa wazimu. Nyerere alikataa 49% na Mkapa akakubali 5%?
Yaani mkenya anamfundisha mtanzania kupanda miti? The dumbest joke I have ever heard in my entire life lolWanatamani sana kwao wangelipanda miti km hku lkn tatizo walifeli kitambo
Muite aone huyo mtu komora096 unazungumzia kupanda miti.? hii 👇Yaani mkenya anamfundisha mtanzania kupanda miti? The dumbest joke I have ever heard in my entire life lol
Ninyi mna megawatts ngapi off grid?Hapa tunaongea kuhusu matumizi ya umeme wa grid na wewe unakazana kuongea kuhusu matumizi ya umeme wa gesi. Sasa mbona unachanganya mada?
Asante, ukiachana na hii Kenya ni Jangwa kwa zaidi ya 90%Muite aone huyo mtu komora096 unazungumzia kupanda miti.? hii 👇
Hata kwenye Chai hawatuzidi, issue ni kwamba Kenya ndio auction market ya Chai karibu yote ya ukanda huu inaenda kuuzwa Mombasa so ni takwimu za Chai za mataifa mengine pia zinajumlishwa kama zote za Kenya. Hapo vipi komora096 kwenye suala la kilimo mtuache kidogo mnatuzidi kwenye kulima chai tu lakini sio kitu kingine chochote
Aisee iko poa sana hii.. Bro Tony254 heb chukua mawili matatu humu pia utajua ni kwann tutengeneze umeme mwingi.?
Yani nitamani miti au???Najua unatamani sana ila mlishafeli kitambo sana na inauma 😂
View attachment 1692033View attachment 1692052View attachment 1692036View attachment 1692037View attachment 1692038View attachment 1692041View attachment 1692043View attachment 1692044View attachment 1692045View attachment 1692046View attachment 1692047