Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇 nimecheka sana leo aiseeee
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] nimecheka sana leo aiseeee
A clever evasive tactic[emoji1787][emoji1787][emoji23] wewe ni ka mwehu sana, nakuvulia kofia.,[emoji145][emoji145][emoji145][emoji1787][emoji23]
 
A clever evasive tactic[emoji1787][emoji1787][emoji23] wewe ni ka mwehu sana, nakuvulia kofia.,[emoji145][emoji145][emoji145][emoji1787][emoji23]
Pumzika bro kwa leo imekua ni siku ngumu kwako naomba pumzika 🤣🤣🤣🤣
 
ichoboy01 lazima ulikua msumbufu na mjanja kuanzia shule ya chekechea., uko na ka utundu flani ya kijanja janja[emoji1787][emoji23][emoji23]., Mwehu, mkora., stubborn [emoji23][emoji23][emoji1787] asie kubali kushindwa, unapigana hadi kufa[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wacha uongo huu uzi hauna hiyo miaka unayosema, km unafuatilia endelea kufuatilia ukiona panapokupendeza sawa twende pamoja ila panapo ku bore pia pita kmy kmy.

Nyie mmetutukana sn so nowadays kibao kimebadilika mnaanza porojo hapa, btw nimependa narration yako ya kistaarabu ila wacha uwongo.
 
Hiyo kujenga dual carriage kwa mbeya from Uyole to Mbaliz ndio nimekisikia wewe
Umemsikiliza mara Ngapi Magu akiwa ziarani mkoa wa Mbeya au wakati wa kampeni? Ukizipata hizo hotuba zake zina maelezo mazuri. Pia ukisoma bajeti za wizara ya ujenzi kuanzia 2016 nadhani kila mwaka wamelielezea hilo. Ndiyo sababu pia yakufanya bomoa bomoa kuanzia Sai mpaka Ilomba.

Kwa maelezo ya Magu (2019 akiwa Uyole kwa mfano) waliamua kuiunganisha na mradi wa Igawa-Tunduma ili kurahisisha utekelezaji.
 
Hii habari si encouraging one, inaonyesha negotiations zita-drag ukizingatia breaking even price ikiwa juu ya Equinor portfolio na ndo maana wame-write down expenses for pre TLNG costs in other words wame-absorb the over the board costs!
The good thing ni kuwa bro Magu kawabana vizuri sana kwenye kona. Kaamua ku-drill visima viwili kwenye vitalu vyetu viwili tunavyomiliki. Ikiwa mradi wa LNG plant una mauzauza mengi ni afadhali tukajiongeza wenyewe mdogo mdogo tukaanza kuwauzia majirani wanaotuzunguka kwa kutumia pipelines kuliko kokomaa na kitu ambayo tunapigwa.
 
Ila dunia haina haki jamani leo GDP inanuka ushuzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Yosef Festo komora096 Teargass Tony254


Tuliokuwa tunasema "come 2025" mikeka imeanza kuchanika. It's happening now. We are taking over the game. Our neighbours are sinking in the mud.
 
hii habari ya kenya kuwa in recession maana yake nn, generally to GDP.. watu wa uchumi
View attachment 1689396
Tafsiri yake siyo nzuri hasa zikizingawa hatua ambazo nchi inazichukua kushughulikia corona.

Simply said ni kwamba uzalishaji/mauzo vinashuka. Sasa kwa kawaida inapotokea recession hatua sahihi za kuchukua ni kuhimiza uzalishaji na si kuukwaza kwa kutumia maujinga ujinga kama "cafew" au sijui partial lockdown.

Kwa jinsi Kenya inavyoenenda na pia kuzingatia mambo yanayoendelea kwenye ulimwengu mwingine lakini unaohusiana na Kenya huenda recession hii ikawaingiza kwenye mgogoro wa kiuchumi.

Mambo hayo ni kama vile kuanguka kwa soko la maua Ulaya ambapo Kenya inakosa mauzo. Kutokana na corona sasa hivi maua hayauziki Ulaya na tuliona mwanzoni mwa janga hili mwaka jana shehena za maua yakitupwa.

Pia mwenendo wa Tanzania kuuza bidhaa zake za mbogamboga, matunda na minofu ya samaki, ng'ombe na mbuzi moja kwa moja kwenye masoko ya ng'ambo bila kupitishwa Kenya (ambako mengi yalikuwa yakifanyiwa packaging/repackaging) kunaendelea kuinyima mapato Kenya.

Lakini tusisahau vilevile kuwa sasa hivi Tanzania ambayo ilikuwa soko kubwa la bidhaa za Kenya iko kwenye njozi za ongezeko la viwanda. Viwanda ambavyo vingi huzalisha bidhaa ambazo awali zilikuwa zikiingizwa kutoka Kenya.

Hapo hatujaihusianisha hiyo recession na ukopaji holela unaofanywa na serikali ya Kenya kwa mgongo wa corona. Madhara yake hayaonekani mara moja ila katika kipindi kirefu yanaweza kuonekana kwa kuirefusha recession na hivyo kupelekea mgogoro wa kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…