Kitalaam haiitwi uongo bali inaitwa projection. Sio uongo bali ni estimate. Yaani ina error term. Data yenyewe sio accurate. Census is the only accurate data for population measure. Na mimi nawapa data ya census ya 48 million na munaikataa maana mnataka ya projection ya 52 million ambayo sio accurate maana ni estimate. The best 007 anakazana kumention projection data ya 52 million maana hio ndio inampa furaha zaidi ila hio ni estimate tu na wala sio accurate, census ndio accurate.[emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] basi ya ghana nayo ni ya uwongo na zote zitakazotola hapo ni za uwongo.......
pia ya ghana ni uwongo
ndiyo maana tunawaambia tuwe tunaonyeshana real life kwa ground maana ndiyo kuna reslity
leo umenichekesha sana
Endelea kupinga au utuletee mapishi ya jubilee, ila ukweli ni huu hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Kitalaam haiitwi uongo bali inaitwa projection. Sio uongo bali ni estimate. Yaani ina error term. Data yenyewe sio accurate. Census is the only accurate data for population measure. Na mimi nawapa data ya census ya 48 million na munaikataa maana mnataka ya projection ya 52 million ambayo sio accurate maana ni estimate. The best 007 anakazana kumention projection data ya 52 million maana hio ndio inampa furaha zaidi ila hio ni estimate tu na wala sio accurate, census ndio accurate.
😂 😂 😂 😂 video imetoka 2 days ago wewe ume watch kitambo, ukweli haupendi, vitu kwa ground vs your reasoning😂😂😂😂, leo jua inatua magharibi na wewe😂😂, Eastlands inabeba 60% ya Nairobi population, kwenyu hautapata estate vast kama hii, na hapa Kenya it is not the leading kwa ukubwa,., wivuuu povuuu video hauja watch muongo wewe, mwehu!!Hio video nilishaona kitambo sana hakuna kitu hapo zaidi ya hzo estates za investors wakat majority wako kwenye slums wana nyea debe👇👇👇🤣🤣🤣🤣 80% of nairobi residence wanaishi kwenye slums alaf unashangilia hapa
Nionyeshe resident ya raiya wa kawaida same level and vast in TZ weka hapa sahi.., vitu kwa ground., as u always claim., weka ni weke., hamuwezi toka nje ya CBD na muweke such aerial views north, east, west na south ya Dar, najua ilivyo., fishing villageAnd yet [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]View attachment 1688883
Wewe weka ya Tz mm niweke ya Kenya, weka niweke, mm naanza [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Nionyeshe resident ya raiya wa kawaida same level and vast in TZ weka hapa sahi.., vitu kwa ground., as u always claim., weka ni weke., hamuwezi toka nje ya CBD na muweke such aerial views north, east, west na south ya Dar, najua ilivyo., fishing village
Pita hapa uone uzushi wa serikali yenu, eti there are some areas showing a decrease in population, while some areas number of men is bigger than the number of women and at the same time there are polygamous marriage, this is pathetic [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]Kitalaam haiitwi uongo bali inaitwa projection. Sio uongo bali ni estimate. Yaani ina error term. Data yenyewe sio accurate. Census is the only accurate data for population measure. Na mimi nawapa data ya census ya 48 million na munaikataa maana mnataka ya projection ya 52 million ambayo sio accurate maana ni estimate. The best 007 anakazana kumention projection data ya 52 million maana hio ndio inampa furaha zaidi ila hio ni estimate tu na wala sio accurate, census ndio accurate.
Weka mambo mkuu, twende kwa source kaka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nyan'gau wameingia kwenye recession rasmi....ni mwendo wa kusinyaa tu aisee Hii Ni hatari wapenda mikopo na wafuata mikumbo
wewe unatokea eneo za keko machungwa pale Dar utaniambia nini, na such places ni 80% ya Dar.., peleka ujinga mbali., tulienda kufanya kazi na NGO flani ya health pale last year balaa, maisha ya mtaani TZ ni ya kishamba shamba tu., yaani Dar yote ni low life hizi picha hazibadili ukweli kuhusu Dar., I took pictures za keko machungwa na eneo zingine pia kama kurasini pale temeke, a big place, najua uwezi leta video outside CBD , let me check my archives..,Wewe weka ya Tz mm niweke ya Kenya, weka niweke, mm naanza [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1688901
Hii hapa mkuu walidhani hatutojua [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nyan'gau wameingia kwenye recession rasmi....ni mwendo wa kusinyaa tu aisee Hii Ni hatari wapenda mikopo na wafuata mikumbo
Mbona kuna uzi tayari mkali pitia usomeWeka mambo mkuu, twende kwa source kaka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nipe link niende nikacheke [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
hao wana shahada za Kiswahili Kutoka nairobi university, kenya ni wasanii sanaView attachment 1688194View attachment 1688196View attachment 1688197nyie mliosoma kiswahili Kenya heb waambieni wakurudishieni ada zenu,hiv mainstream media iandike "upanzi wa miti " badala ya "upandaji wa miti" mmejifunza hata MNYUMBULIKO WA MANENO.? alaf eti mjue kiswahili duh 😂😂😂
uliwaandikisha watu kwenye sensa....?Kitalaam haiitwi uongo bali inaitwa projection. Sio uongo bali ni estimate. Yaani ina error term. Data yenyewe sio accurate. Census is the only accurate data for population measure. Na mimi nawapa data ya census ya 48 million na munaikataa maana mnataka ya projection ya 52 million ambayo sio accurate maana ni estimate. The best 007 anakazana kumention projection data ya 52 million maana hio ndio inampa furaha zaidi ila hio ni estimate tu na wala sio accurate, census ndio accurate.
Recession happens in nations and business due to many unforeseen factors apart from deliberate recklessness, na kuna kuchomoka pia, what matters is what structures do you have? wewe ulisema ni mwana biashara natumai unaelewa sitatumia nguvu nyingi hapa., Kenya has well established economic structures, hatufanyi pata potea.,Nyan'gau wameingia kwenye recession rasmi....ni mwendo wa kusinyaa tu aisee Hii Ni hatari wapenda mikopo na wafuata mikumbo
Aliewaangusha kaondoka?mbinu zilizowaangusha mmeziacha? Manake kama bado mnaondokaje apo sasaRecession happens in nations and business due to many unforeseen factors apart from deliberate recklessness, na kuna kuchomoka pia, what matters is what structures do you have? wewe ulisema ni mwana biashara natumai unaelewa sitatumia nguvu nyingi hapa., Kenya has well established economic structures, hatufanyi pata potea.,
"....measures introduced....to slow spread of covid-19...continued to hurt output..." kile kinacho tendeka duniani kote, wewe unashangilia kumbe unatamani Kenya ishuke ndio mpande hehehe, bro hamuwezi pengine tusimame for 10 years with flat growth., and you maintain your current pace, now tumelegeza uchumi umefunguka, watch how 2021 will pan out across Africa, ata hao Ghana mnao tamani kuwapita hamutawaona hivi karibuni, kumbe wewe ni mmoja wa kamati ya roho chafu, infact wewe ni chairman 😛 😂 😂 😂 Kenya will be on top of you forever., angalia tu vile Dar inafanana mitaani????., ushamba deadly!Nipe link niende nikacheke [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1688909
Major factor was covid19 lockdown., but now tumerudi, kazi inaendelea licha ya siasa, si unajua sisi tunapiganga kelele tukifanya kazi., evidence tutawaonyesha.,Aliewaangusha kaondoka?mbinu zilizowaangusha mmeziacha? Manake kama bado mnaondokaje apo sasa
Wanakuambia eti mzee Moi ndiyo aliwaangusha wakati hili boga lililoko pale ikulu ndo linawaumiza [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aliewaangusha kaondoka?mbinu zilizowaangusha mmeziacha? Manake kama bado mnaondokaje apo sasa
Mtajua hamjui, km kweli unaujua uchumi itakupasa ulie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Recession happens in nations and business due to many unforeseen factors apart from deliberate recklessness, na kuna kuchomoka pia, what matters is what structures do you have? wewe ulisema ni mwana biashara natumai unaelewa sitatumia nguvu nyingi hapa., Kenya has well established economic structures, hatufanyi pata potea.,