Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwangu mimi ninaliona tofauti kidogo, wizara ya fedha inapanga matumizi kulingana na taarifa za uchumi wa nchi, taarifa zinaonyesha kwamba uchumi wa nchi ni mkubwa (Bigger GDP), wizara inatumia taarifa hizo katika kupanga matumizi bila kujua kwamba taarifa hizo sio za kweli ni taarifa za kupika.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Huu wimbo wa zamani bado unauimba leo? Uko nchi gani ww au Taured?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
...na ujue mimi Tz hainilishi propaganda I get the facts na ku compare na what CCM says si kupiga makofi kishenzi na kifala fala. Sio mimi nilikusanya ushuru wa Tz na sio mimi niliandika budget wacha hasira kaka [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23], "pesa za ndani" narrative ni political statement tu, facts speaks otherwise.
 
Hapa ss ndo wamekuelewa, ndo mana huwa wanakataa ww co form four failure[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahaha. Sahihisha. Ndiposa inastahili kuwa nini? Venye inastahili kuwa nini? Na yenyu nadhani inastahili kuwa yenu.
 
Facts ndo projects zinazoendelea au huoni? Tuna miradi ambayo ninyi hamuwezi kuifanya kwa miaka 30 ijayo au hutaki [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Haha Sasa wataka kumaanisha hii chakula ndyo wanakula mpaka sa hii,haya yalipitwa na wakati Kaka[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwn mmeacha kuomba? Au tulete zingine ili tuelewane [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huu wimbo wa zamani bado unauimba leo? Uko nchi gani ww au Taured?[emoji3][emoji3][emoji3]
Report iliyo tolewa na world Bank kuhusu extreme poverty in Tz uliisoma wewe?, Walitumia Kigezo cha LDC $0.99. na mkapatikana fukara millioni 28 , kwa sasa wataanza kutumia $2.99 since mko lower middle income., Wacha tusubiri tuone[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Facts ndo projects zinazoendelea au huoni? Tuna miradi ambayo ninyi hamuwezi kuifanya kwa miaka 30 ijayo au hutaki [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
..kwa pesa ipi? Hapa ndio argument iko..,
 
Hamfai kutajwa nchi masikini wa kutupwa ichoboy01 , ona vile mna paradiso! Tatizo huwa nini kaka., Leo nifafanulie..., weka debate kando..
[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205][emoji116][emoji116]
 
Kwahiyo sio tena masikini au sio [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji90][emoji90]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ