Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

maisha huwa yanaenda mbele hayasimami...

hayo ndiyo mawazo potofu yaliyowatawala wakenya waliowavivu kujifunza mambo kwa kujidanganya kuwa mpo ahead .....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

hii dunia ni nzuri sana,tuendelee kuusoma huo mchezo
 
Kuna mzabuni tayari keshapatikana kwa mujibu wa waziri Jafo. Anatarajiwa kuanza kazi April au May. Wanadai tayari keshanunua mpaka mabasi yote 305 yanayotakiwa.
 
aliyekudanganya ni nani ndani ya karne hii,,,,,?


usifananishe kiswahili/mswahili na ukabila hivyo ni vitu viwili tofauti huwezi kulinganisha....

mtanzania yeyote yule ni mswahili
 
Wadau kumbe kuna flyover nyngne junction ya kawawa road na nyerere road..na iko under construction tayar
Bro Magu kaamua kuja na model ya kuunganisha fly over ni brt. Hata mikoani, sasa hivi miradi kama by pass na dual carriage roads zinaunganishwa na miradi mikubwa ya barabara ili pamoja na mambo mengine kurahisisha financing na masuala ya tendering.

Kwa mfano pale Mbeya mjini; miradi wa Uyole - Mbalizi bypass na njia nne za Uyole-Mbalizi zimeunganishwa na mradi wa Igawa-Tunduma. So unauwa kundi la ndege kwa jiwe moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…