Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,398
Tony netiweki inakuja na kupotea,yaani jamaa sometime yes sometime noumesahau NairobiWalker ni falamanga mmoja mkubwa sana! lakini hata Tony254 ana ujinga wake juzi nimemu-expose Terminal 1 yao JKIA ina milango ya toka medieval era yyani ya kusukuma kufungua na kuvuta kufunga! akadai hana uhakika nikamwekea video akanyuti!
Sorry,nilikosea,kweli Tz haiwezi kuwa na ghorofa Kama hizi,,Tz hakuna road iliyopauka na ghorofa ugly kama hizo
ManzeseSorry,nilikosea,kweli Tz haiwezi kuwa na ghorofa Kama hizi,,
Hapa ndipo Tz Sasa[emoji16]
View attachment 1687405
Na hapa ni wapi vileee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]Sorry,nilikosea,kweli Tz haiwezi kuwa na ghorofa Kama hizi,,
Hapa ndipo Tz Sasa[emoji16]
View attachment 1687405
Woow nice road with brt blue buses huwezi kuona mahala popote east na central africaSorry,nilikosea,kweli Tz haiwezi kuwa na ghorofa Kama hizi,,
Hapa ndipo Tz Sasa😁
View attachment 1687405
Umesahau kutaja nice uswazi,,hio density joh👏😱🤣🤣Woow nice road with brt blue buses huwezi kuona mahala popote east na central africa
Pale Mwenge kuna jamaa kaniambia wanachimba chimba pako na jam sana sijui wanajenga nini?Flyovers zinazojengwa kwa ss hapa Dar ni mbili, pale uhasibu na nyingine ipo Chang'ombe na nadhani zitaisha pamoja cz zote zinaenda sawa.
Hapa ni Tandale😁Na hapa ni wapi vileee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 1687406
Uswazi uko poa tu,ukishuka kwa ground unakutana na house kali huwezi kupata mathare,kakamega au kariobange...hizo juu ni rust tu wala zisikutie wengeUmesahau kutaja nice uswazi,,hio density joh👏😱🤣🤣
Kwn kuna indoor arena mpya inajengwa?Pale Mwenge kuna jamaa kaniambia wanachimba chimba pako na jam sana sijui wanajenga nini?
Halafu kuna ujenzi wa kasi sana pale in door arena na KMC playing ground. Na stand pia pale i think..ukijumlisha na hiyo barabara mpya ya makumbusho hayo maeneo yatakuwa matata sana.
mbavu zangu, hata bata hawawezi kuishi katika mabanda haya, choo ni kila sehemu, harufu ya kinyesi ni kama perfum huku kwetu Tanzania! ahahhahahahha, any way, waache waendelee kufurahia wazungu na wacheche kuuziwa misitu na ardhi yenye rutuba tu. wajinga ndio waliwaoNa hapa ni wapi vileee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 1687406
Tandale au co [emoji3][emoji3]Hapa ni Tandale[emoji16]
Yes, pale Mwenge inajengwa. Itakuwa inamilikiwa na manispaa ya Kino. Mjenzi JKT.Kwn kuna indoor arena mpya inajengwa?
Mwenye render tafadhali [emoji3516][emoji3516]Yes, pale Mwenge inajengwa. Itakuwa inamilikiwa na manispaa ya Kino. Mjenzi JKT.
Wakenya wengi hawajui lolote kuhusu Tanzania. Huo ndio ukweli na haubadiliki. Wakenya wengi wanajua tu stereotypes za Watanzania. Kwa mfano Wakenya wanaamini kwamba Watanzania niHuo ni uongo mkubwa sana,Neno Tz kwa mkenya yyte au Tanzania lazima aijue ,ni sawa na mimi niseme siifahamu uganda lol acha izo tantalila zako
Kwani nyie mnamasomo gani ya kujidai?Wakenya wengi hawajui lolote kuhusu Tanzania. Huo ndio ukweli na haubadiliki. Wakenya wengi wanajua tu stereotypes za Watanzania. Kwa mfano Wakenya wanaamini kwamba Watanzania ni
Mambo mabaya
1. Wavivu
2. Wanapenda masengenyo na kugombana. Yaani huwezi kumshinda Mtz kwenye vita ya mdomo
3. Masikini.
4. Hamjasoma vizuri. Masomo yenu ni hafifu na wengi hawajasoma
Mambo mazuri
5. Kiswahili chenu ni bora kushinda yetu.
6. Nyinyi ni wakarimu. Hata mwizi anakuambia "naomba kukuibia" na polisi anasema "naomba kukukamata"
Huku Kenya hatuombi, tunafanya tu maana sisi ni wajeuri
7. Mziki wenu unavutia sana yaani bongo fleva.
Haya ndio mambo ambayo wakenya wanaamini zaidi.
Kwamba Wakenya waseme Watz ni maskini, kumbe kweli wewe akili zako haziko sawa ndo naamini leo.Wakenya wengi hawajui lolote kuhusu Tanzania. Huo ndio ukweli na haubadiliki. Wakenya wengi wanajua tu stereotypes za Watanzania. Kwa mfano Wakenya wanaamini kwamba Watanzania ni
Mambo mabaya
1. Wavivu
2. Wanapenda masengenyo na kugombana. Yaani huwezi kumshinda Mtz kwenye vita ya mdomo
3. Masikini.
4. Hamjasoma vizuri. Masomo yenu ni hafifu na wengi hawajasoma
Mambo mazuri
5. Kiswahili chenu ni bora kushinda chetu.
6. Nyinyi ni wakarimu. Hata mwizi anakuambia "naomba kukuibia" na polisi anasema "naomba kukukamata"
Huku Kenya hatuombi, tunafanya tu maana sisi ni wajeuri
7. Mziki wenu unavutia sana yaani bongo fleva.
Haya ndio mambo ambayo wakenya wanaamini zaidi.
Exactly,,hapo umeongea ukweli,,ukisimamisha yeyote hapa Kenya umulize about TZ atasema exactly hiviWakenya wengi hawajui lolote kuhusu Tanzania. Huo ndio ukweli na haubadiliki. Wakenya wengi wanajua tu stereotypes za Watanzania. Kwa mfano Wakenya wanaamini kwamba Watanzania ni
Mambo mabaya
1. Wavivu
2. Wanapenda masengenyo na kugombana. Yaani huwezi kumshinda Mtz kwenye vita ya mdomo
3. Masikini.
4. Hamjasoma vizuri. Masomo yenu ni hafifu na wengi hawajasoma
Mambo mazuri
5. Kiswahili chenu ni bora kushinda chetu.
6. Nyinyi ni wakarimu. Hata mwizi anakuambia "naomba kukuibia" na polisi anasema "naomba kukukamata"
Huku Kenya hatuombi, tunafanya tu maana sisi ni wajeuri
7. Mziki wenu unavutia sana yaani bongo fleva.
Haya ndio mambo ambayo wakenya wanaamini zaidi.
Wakenya wengi hawajui lolote kuhusu Tanzania. Huo ndio ukweli na haubadiliki. Wakenya wengi wanajua tu stereotypes za Watanzania. Kwa mfano Wakenya wanaamini kwamba Watanzania ni